Kabla ya Kuwashitaki TCRA,
Napenda kuwatangazia kuwa hii kampuni ya vodacom wanaleta usumbufu usio wa kawaida kabisa kwa wateja wake napenda kusema kuwa ni WIZI wa wazi kwa wateja wake!
Unaweka vocha ya sh 5000, ukitaka huduma unayotaka kama kupiga simu nk unaambiwa hauna salio la kutosha, ukiangalia salio limekuwa 0.00 DUH!! ukiwapigia wanaleta lingolongo ohh piga baada ya nusu saa, tatizo lako tumeliwasilisha kwenye kitengo maalum, ohh jaribu tena kutupigia kesho!
tunaandaa charge kwa ajili ya kuwashtaki TCRA, ndo mtajua kuwa TZ sio ile tena mliyozoea ya kuwaonea wateja, kila mtakapo!
this is all ----!!
sio tu hawa voda ovyo sana wanavujisha siri za wateja,wanashirikiana na ccm kuhujumu vyama vingine kma walivomfanyia lema na sms ya mulungo