voda mmetupa somo

Sijui kwa line yako ila kwangu na sh 0 haifunguk kweli ila nlikua na sh 100 nkakaa zaid ya saa 1 kwa 0.facebook.com sjaliwa hata sh 1 na sio mimi tu ask mgeni pia
 
Sijui kwa line yako ila kwangu na sh 0 haifunguk kweli ila nlikua na sh 100 nkakaa zaid ya saa 1 kwa 0.facebook.com sjaliwa hata sh 1 na sio mimi tu ask mgeni pia

0.facebook.com in2mika bure kama kawaida hata haikati hela.
 
mbona mm natumia bure. Then ukifungua kwa opera inakata pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…