Mimi ni mfanyabiashara, miezi mitatu iliyopita nikashawishika kuongeza huduma ya freelancer kusajiri laini mtandao wa voda, mwezi wa kwanza na pili walinilipa vizuri, lakini mwezi huu hawajanilipa nimejaribu kuongea na Team leader na meneja hakuna sababu walionipa kufanya nisilipwe.
Nimeamua niachane na hii kazi kwa upuuzi wenu
Nimeamua niachane na hii kazi kwa upuuzi wenu