Hiyo ndio download speed au? 250kbps mbona ni ndogo sana mkuu? hapo movie ya 700mb unadownload kwa zaidi ya masaa 8 hivi! watu tunapata speed ya 2.4mbps
Uncle Rukus na SHAROBARO acheni masikhara speed hizo bongo mnapatia wapi?
We utakuwa upo Tanzania na siyo Bongo........
Mkuu,pole sana.....ukisema tanzania ni nje ya Dar mkuu..... natumia tigo napata speed ya 2.5mbps asubuhi hadi usiku, wewe tu mkuu ujapenda kupata hiyo speed, hama uko voda jiunge na mitandao ya ukweli....Airtel,tiGO,TTCL,Zantel hii ndio mitandao ya ukweli... vodacom na SASATEL vimeoMkuu kweli nipo tanzania maana hata usiku wa manane siipatagi hiyo speed,
Mkuu,pole sana.....ukisema tanzania ni nje ya Dar mkuu..... natumia tigo napata speed ya 2.5mbps asubuhi hadi usiku, wewe tu mkuu ujapenda kupata hiyo speed, hama uko voda jiunge na mitandao ya ukweli....Airtel,tiGO,TTCL,Zantel hii ndio mitandao ya ukweli... vodacom na SASATEL vimeo
kwa bongo 2.5mbps ni kudanganyana tu,yaani spidi imezidi sana ni 1.5mbps nadhani ni airtel kwa tigo i don think so coz i used all networks.
Hiyo ndio download speed au? 250kbps mbona ni ndogo sana mkuu? hapo movie ya 700mb unadownload kwa zaidi ya masaa 8 hivi! watu tunapata speed ya 2.4mbps
kwa bongo 2.5mbps ni kudanganyana tu,yaani spidi imezidi sana ni 1.5mbps nadhani ni airtel kwa tigo i don think so coz i used all networks.
una maanisha 100kbps or 100mbps?Uncle Rukus hiyo 250kbps umeielewa kweli, kwasababu download speed ya 250kbps kwa movie yenye 700MB inachukua dakika 47 tu piga hesabu tena usikosee tena..alafu wana JF msidanganyike kwasababu hata kama modem ina uwezo wa 7.2mbps hawa isp wetu wanapunguza Bandwith ya download speed kati ya 64kbps-300kbps. Ukipata 100mbps katika downloads shukuru mungu..:mod::mod:
achen kamba bana mmenunua dedicated conn. ama?3 mbps tz kwa net ze2 za magumash bdo sana!
haya tupige hesabu pamoja:Uncle Rukus hiyo 250kbps umeielewa kweli, kwasababu download speed ya 250kbps kwa movie yenye 700MB inachukua dakika 47 tu piga hesabu tena usikosee tena..alafu wana JF msidanganyike kwasababu hata kama modem ina uwezo wa 7.2mbps hawa isp wetu wanapunguza Bandwith ya download speed kati ya 64kbps-300kbps. Ukipata 100kbps katika downloads shukuru mungu..:mod::mod: