Voda kwanini mnafanya utapeli huu????

Voda kwanini mnafanya utapeli huu????

Bome-e

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
17,364
Reaction score
26,636
Habari wana jf!kuna suala moja ambalo vodacom wananikera sana!
Kuna siku nlipokea ujumbe uliosomeka "Namba 0756....5 imeshinda zawadi, tuma neno NDIO kwenda namba 15.... utapata zawadi yako kwa sms moja utakayotuma!"
Ukisoma maelezo hayo yana maana nilikuwa nimeshinda zawadi na nilitakiwa kujibu ndio pengine waniambie ni zawadi gani nimeshinda na nitaipataje,nilichoambulia ni kukatwa salio langu tu.
kama huu si utapeli ni nini?Kwanini wasiweke wazi kuwa naingia kwenye droo ya bahati nasibu badala yako wanatumia lugha ya ulaghai?
Najua kuna watu yamewakumba haya pia,wana jf mna mchango gani katika hili?
Nawasilisha
 
baada ya kukatwa salio umechukua hatua gani?
 
Wewe...... mie mwenyewe hilo limenikuta.
Unashinda points kuanzia 1000
 
baada ya kukatwa salio umechukua hatua gani?
Ni

kwa kuwa hatujui haki zetu, ni kuwapeleka mahakamani kwa kutoa wrong information- misrepresentation- misinformation ambazo zimekuletea hasara na usumbufu! Special and general damages!
 
airtel nao wameanza wizi! kifurushi cha yatosha cha wiki nimetumia siku 3
 
Unajua walianza kwa kunitumia sms kuwa namba yangu imechaguliwa kuwania fedha,sikutegeka!sasa naona ikawabidi watumie njia ya ulaghai kama ile ya karl Peters kulee Msovero!
 
Afu wanakutumia mimeseji yao ya kijinga yenye vimaswali ili kukuhamasisha kila siku
 
Sasa sijui tuende wapi!!

Nenda 071 utafurahi ukijirusha wk sh5000 tu dk 300 mtandao unlimited
Kwa siku sh 900 dk 40 mtandao mb 300 inahitaji nini zaidi ya hapo juzi nimenunu modem ya airtel niecheck bundle nikachoka sh 11500 mb 250 what a......
Au kwa wazee voda kifurushi cha sekunde 60 huu si utani jamani nilishaformat modem siku nyingi
 
------- voda me nimemaliza kujiunga na cheka mara naambiwa kifurush changu cha kupiga mitandao mingne kimeisha. hapo cjapiga hata cm moja
 
Habari wana jf!kuna suala moja ambalo vodacom wananikera sana!
Kuna siku nlipokea ujumbe uliosomeka "Namba 0756....5 imeshinda zawadi, tuma neno NDIO kwenda namba 15.... utapata zawadi yako kwa sms moja utakayotuma!"
Ukisoma maelezo hayo yana maana nilikuwa nimeshinda zawadi na nilitakiwa kujibu ndio pengine waniambie ni zawadi gani nimeshinda na nitaipataje,nilichoambulia ni kukatwa salio langu tu.
kama huu si utapeli ni nini?Kwanini wasiweke wazi kuwa naingia kwenye droo ya bahati nasibu badala yako wanatumia lugha ya ulaghai?
Najua kuna watu yamewakumba haya pia,wana jf mna mchango gani katika hili?
Nawasilisha
Huwezi kushinda bila kushindana ndg yangu
 
Ngojea ni kuambie ndugu yang wew ulivyo ambiwa hivyo ulijaribu kufikiria kam kuna shindano lolote ambalo uliwah kushiriki? kama jibu ni hapn mbna usipige customer Care hudma kw wateje ukauliza kwmba nin kinaendelea ufahamishw? naweza kusema kuwa hukuw makini so usiwalaum voda jilaumu ww kwnz kutokuwa makini ya kutohuliza na hicho ndo kinacho tu cost sis binadamu
 
Kuna droo iliyokuwa inaendelea kwa watumiaji wa vifurushi vya Cheka,kwakuwa mimi ni mtumiaji sikuwa na hofu nikajua pengine nimebahatika!kingine niliwaamini vodacom ndio maana natumia pia mpesa kama bank yangu ndogo,kwa maana hiyo sikuwa na hofu yoyote.
 
Back
Top Bottom