Jamani sasahivi nimetuma neno Free Intrenet kwenda 15300 ghafula wakanipa 50MB sasa sijui wata ni lamba ni kiweka pesa coz ni sh.45 !!
hiyo unaipata mara 1 tu haijirudii so kma kna wengne walishatumia hawawez kupata
nilikuwa cjui ngoja nidownload kwa nguvu!