Vocha ya Airtel ya Tshs 1000/- ....... !!!

ubora wa hizo vocha sio mzuri, ni mara chache sana utakwangua bila kuharibika. kwa wasiige mfano wa ubora wa mpinzani wao "kazi ni kwako"?
 
Yaani at least hata za jero na buku mbili...
 
Aisee ni kweli. Hata mimi imenitokea. Moja nilinunua mkoani ikaharibika na nilipowapigia wakanijibu hizo pumba, nyingine nimenunua juzi hapa hapa Dar yakatokea yaleyale.
Inaonekana hizo vocha zina matatizo.
 
Na kweli.. Ila kwa sasa suluhisho walilolitoa,ni kuziwekea "lebo" ya "scratch gently"...
 
Nimetimiza mwaka mmoja sasa bila kununua vocha za kukwangua. Naingiza pesa kwenye akaunti yangu ya simu halafu najimiminia tu.FAIDA ZAKE 1.Naokoa muda 2.Napata bonasi kama vile dakika za bure na sms.
 
Asante kwa mchango...

Hiyo Sim-banking ni nzuri(au watumia NMB?)

Hata hivyo,hayakosekani mashaka kwenye Sim-banking.. Tumekuwa tukisikia malalamiko,si mengi lakini yapo,ya hapa na pale..

Hata hivyo wewe ni class fulani,ama ni mtu wa aina fulani... Utauliza kwa nini,kwa sababu,under normal circumstances,huwezi kukaa mwaka mzima bila kununua airtime hizihizi za kukwangua!
 
.........
 
......
 
Back
Top Bottom