Vizuri kuwasilikiza viongozi wetu na kuchambua wasemacho

Hakuna mnafiki wa hii nchi Kama kamanda ushuzi

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Mkuu ndio tatizo lenu hilo mnaharaka ya kutetea upuuz alafu unashindwa kuona ulipokosea na umeandika paragraph ya mistari mitatu tu ? . Haitwi amiri jesh ni Amri Jesh mkuu , amiri ni Kiswahili cha wapi ?

Okay ngoja turud kwenye mada ? unajua kinachoikwamisha ccm kwenye mambo mengi ? Ni hawatak kusikiliza ushaur wa wapinzani hata kama una mantic na maslahi kwa Taifa hili, na hii corona kwasasa sio kitu utakuja kuiona kitu pale itakapopiga one of your family member na ndio utajua hakuna sehemu ya kujificha, watu badala muwe na umoja ili muweze kuishinda kwa pamoja ccm na chadema mnaleta mashindano, watu wakifa nani atapiga kura ?

Narudia tena wakati corona hata haijaingia Tz mbunge wa IRINGA Msigwa aliomba bunge liache ishue zingine wadiscuss mikakati ya namna ya kupambana nayo, wakadharau, hapa tukawa bado hatujachelewa tulivyokuwa na mgonjwa mmoja wakina Lema wakaomba safari za ndege kutoka nje zipigwe stop yan ndege za abiria labda za cargo tu ndio ziwe zinakuja serikali ya Magufuli ikakataa, Tukawa bado hatujachelewa Akaongea yule mbunge wa tarime kuhusu hili swala pamoja na kuomba wabunge wote wapimwe bado hawakusikiliza haya sasa hawasikilizi wao mipngozo yao ni ipi ? wanasema tujifukize ivi kweli hii iko sawa ? na wanasema wakati tushachelewa.

Ukitaka kujua Tanzania ina utani na hili swala ni iko hivi wakati tuna wagonjwa 54 kenya walikuwa na 254, sisi leo tuna 450+ wao wako kwenye 300+ , na huyo Amiri jesh(kama wewe unavyomwita) kakimbia jesh kajificha kwao asa hapo kuna uamri jesh au vipi ?

Duniani ni sisi pekeetu tunaenda viceversa, na kichekesho kitakachokuja kutokea ni kwamba wakati nchi zote zitakuwa zinarecover sisi mambo yatakuwa yamepamba moto sasa apo ndio tutakapo tengwa ila kwakuwa ninyi mmefundishwa kuimba mapambio ya kusifu hili hamlion na sababu hamna exposure hamwez kuelewa mpaka msikie linatokea.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nani anaye furahia Corona zaidi ya chadema? Mbona hii iko wazi mnashindana kufungua nyuzi za kuchekelea watu wanao kufa kwa korona na kulalamika kwanini zinatolewa taarifa za vifo vichache najiuliza mnataka vifo vingi ili iweje? Halafu shule umesomea ujinga au ni amiri jeshi mkuu sio amri jeshi
Screenshot_20200429-230241.jpg
 
Nani anaye furahia Corona zaidi ya chadema? Mbona hii iko wazi mnashindana kufungua nyuzi za kuchekelea watu wanao kufa kwa korona na kulalamika kwanini zinatolewa taarifa za vifo vichache najiuliza mnataka vifo vingi ili iweje? Halafu shule umesomea ujinga au ni amiri jeshi mkuu sio amri jeshi View attachment 1434973

Mkuu hakuna anaefurahia vifo , ila vikitokea ni visemwe kwan we upo Tanzania ? kama upo Tanzania na unataka huu upumbavu uendelee hii corona itakufikia mkuu, sisi ndio hatutak hivyo vifo vingi ndio mana tunataka data za ukweli zitangazwe iko hivi Check hili Tangazo

IMG_2020.JPG

YANI DUNIA NZIMA INAPAMBANA NA UGONJWA UNAITWA COVID19 ambayo ndio CORONA , Tanzania eti ni TATIZO LA KUSHINDWA KUPUMUA, ivi kweli unaona hii ishue iko sawa huyu jalaa angekuwa ndugu yako ungejisikiaje Yan CORONA KWA KISWAHILI NDIO INAITWA HIVYO AU WANATAKA KUFICHA NINI ? Ugonjwa umeshindikana Ulaya Tanzania utafichika ?

Jafo nae kaja na wiki ya NYUNGU 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ivi mtu ukiwa ccm lazima uwe mpumbavu na mbaya zaidi hamwezi ficha upuuz wenu daaah

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni mpuuzi tu atakae msikiliza DJ Kwanza utaanzaje kumfananisha raisi amiri jeshi mkuu na huyo mwenyekiti wa cdm
Hapa sijui nani ni mpuuzi wewe uliyeandika kama kasuku au unayemtukuza na kumwabudu
Una uhakika umesikiliza vizuri hawa wawili ukachanganua au umekurupuka tu kujibu bila kujua kimezungumzwa nini!!

Hii ndio shida yenu wenye kusifu na kuabudu
Hujafikwa na msiba wa Corona otherwise usingejibu haraka hivi kama unakimbizwa
 
Mkuu ndio tatizo lenu hilo mnaharaka ya kutetea upuuz alafu unashindwa kuona ulipokosea na umeandika paragraph ya mistari mitatu tu ? . Haitwi amiri jesh ni Amri Jesh mkuu , amiri ni Kiswahili cha wapi ?

Okay ngoja turud kwenye mada ? unajua kinachoikwamisha ccm kwenye mambo mengi ? Ni hawatak kusikiliza ushaur wa wapinzani hata kama una mantic na maslahi kwa Taifa hili, na hii corona kwasasa sio kitu utakuja kuiona kitu pale itakapopiga one of your family member na ndio utajua hakuna sehemu ya kujificha, watu badala muwe na umoja ili muweze kuishinda kwa pamoja ccm na chadema mnaleta mashindano, watu wakifa nani atapiga kura ?

Narudia tena wakati corona hata haijaingia Tz mbunge wa IRINGA Msigwa aliomba bunge liache ishue zingine wadiscuss mikakati ya namna ya kupambana nayo, wakadharau, hapa tukawa bado hatujachelewa tulivyokuwa na mgonjwa mmoja wakina Lema wakaomba safari za ndege kutoka nje zipigwe stop yan ndege za abiria labda za cargo tu ndio ziwe zinakuja serikali ya Magufuli ikakataa, Tukawa bado hatujachelewa Akaongea yule mbunge wa tarime kuhusu hili swala pamoja na kuomba wabunge wote wapimwe bado hawakusikiliza haya sasa hawasikilizi wao mipngozo yao ni ipi ? wanasema tujifukize ivi kweli hii iko sawa ? na wanasema wakati tushachelewa.

Ukitaka kujua Tanzania ina utani na hili swala ni iko hivi wakati tuna wagonjwa 54 kenya walikuwa na 254, sisi leo tuna 450+ wao wako kwenye 300+ , na huyo Amiri jesh(kama wewe unavyomwita) kakimbia jesh kajificha kwao asa hapo kuna uamri jesh au vipi ?

Duniani ni sisi pekeetu tunaenda viceversa, na kichekesho kitakachokuja kutokea ni kwamba wakati nchi zote zitakuwa zinarecover sisi mambo yatakuwa yamepamba moto sasa apo ndio tutakapo tengwa ila kwakuwa ninyi mmefundishwa kuimba mapambio ya kusifu hili hamlion na sababu hamna exposure hamwez kuelewa mpaka msikie linatokea.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Duh umemvua nguo huyo kichwa maji si kwa uchambuz huo iyo tunaita 3.--0

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss Chakaza PhD Holder Vs Dj

Ngumu kumeza, Ngumu kutema.

Tunao viongozi wengi wa kuwasikiliza katika taifa hili, lakini kwa sababu siasa ndio maisha basi Leo tuwasikilize viongozi wawili wa kisiasa. Nao ni mwenyekiti wa Chama tawala CCM na Mwenyekiti wa Chama kinachowania Octoba kuingia madarakani yaani Chadema na wote wakizungumzia janga moja la Corona.

Ndio hapo kila mmoja ataona umahiri wa kukabiliana na matatizo, ufariji na uwezo wa kuleta matumaini.
TUWASIKILIZE;

Huyo in mwenyekiti wa Chadema Mheshimiwa Freeman Mbowe.

Huyo in mwenyekiti wa CCM Mheshimiwa John Magufuli ambaye pia ni Rais wa nchi

Kwa vile wote wanazungumzia tatizo moja la ugonjwa wa corona na nini tufanye sio vibaya kulinganisha namna wanavyo shauri utatuzi bila kujali kuwa mmoja ana mamlaka ya kuidhinisha fedha au watendaji bali tujikite kwenye fikra zao tuu
 
Hapa sijui nani ni mpuuzi wewe uliyeandika kama kasuku au unayemtukuza na kumwabudu
Una uhakika umesikiliza vizuri hawa wawili ukachanganua au umekurupuka tu kujibu bila kujua kimezungumzwa nini!!

Hii ndio shida yenu wenye kusifu na kuabudu
Hujafikwa na msiba wa Corona otherwise usingejibu haraka hivi kama unakimbizwa
Ninahakika hakusikiliza, au kama kasikiliza basi uwezo wake mdogo ameshindwa hata kuelewa.
Watu wa aina hiyo huwa msaada wa kuelewa ni pale wanapopigwa na tukio la kuona mumewe/mkewe au baba,mama,na ndugu yeyote anachotwa na corona na kufukiwa na city huku akiambiwa anyamaze kimya hiyo ni changamoto ya upumuaji na siyo corona.
 
Tunao viongozi wengi wa kuwasikiliza katika taifa hili, lakini kwa sababu siasa ndio maisha basi Leo tuwasikilize viongozi wawili wa kisiasa. Nao ni mwenyekiti wa Chama tawala CCM na Mwenyekiti wa Chama kinachowania Octoba kuingia madarakani yaani Chadema na wote wakizungumzia janga moja la Corona.

Ndio hapo kila mmoja ataona umahiri wa kukabiliana na matatizo, ufariji na uwezo wa kuleta matumaini.
TUWASIKILIZE;

Huyo in mwenyekiti wa Chadema Mheshimiwa Freeman Mbowe.

Huyo in mwenyekiti wa CCM Mheshimiwa John Magufuli ambaye pia ni Rais wa nchi

Kwa vile wote wanazungumzia tatizo moja la ugonjwa wa corona na nini tufanye sio vibaya kulinganisha namna wanavyo shauri utatuzi bila kujali kuwa mmoja ana mamlaka ya kuidhinisha fedha au watendaji bali tujikite kwenye fikra zao tuu
Msikilize Jafo hapa

Jr
 
Ukiwa nje ya uwanja wa mpira unakosoa uchezaji wa wengine, lakini ukiingia uwanjani hautendi kama ulivyokuwa ukiongea nje.
 
Back
Top Bottom