Vizuka

Kumbuka kutaja jina lipitalo majina yote, jina la Mwanaume wa Wanaume, Simba wa Yuda aliyeshuka kuzimu na kumgalagaza mkuu wa hivyo vinyamkera na kuchukua fungua za kuzimu.
YESU asiyehitaji kutetewa kwa kubebewa mapanga wala mashoka na mtu yeyote mwenye mwili wa nyama.

Taja jina hilo uone watakavyotimka....
 
Na hata kama msingemgonga ila mkamruhusu avuke mngeisoma huko mbele ya safari! Hata siku moja usikubali kunguru au paka akatishe Barbara mbele yako

dah Mungu alituokoa hiyo siku......barabarani kuna mengi.
 
Nakumbuka nimetoka babati sa 5 usiku, nakuja Dar kupitia singida, mida kama Sa 9 naitafuta manyoni. Naona watu wengi sana mbele wamesimama, Nilikuwa ka 200khr, nilinyoosha goti mpaka nawapita niko 240adometer, harafu sikujua Hata walipotelea wapi. Barabarani usiku mkubwa n marufuku kukwepa chochote
 

hiyo ndiyo principal.....
 

Mmepakiana na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…