Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,957
- 22,156
Ukiwa kama binadamu unaitaji kuwa na msaidizi wako ndio maana tunaona katika kitabu cha mwanzo mungu alimtafutia adamu msaidizi si kwamba adamu alikuwa hana uwezo la hasha alijua anaitaji kuwa na msaidizi wake wa karibu
vivyo hivyo ukiwa kama binadamu wa leo uniataji kuwa na msaidizi wako wa karibu kihalali hapa na zungumzia kwenye ndoa
ukisoma vitabu vya biblia utaona kwenye 1samweli 1;17-27, 1sam 18:2-26 utaona si zumuni la mungu kukupa mke asiesahihi
unaona daudi alioa mke asie sahihi;;ukija kwe sauli unaona alioa delila mke asie sahihi uwezi kumsaliti mumeo unaempenda hata siku moja si hivyo tuupande wa wanaume utasoma 1samweli 25:34-36 juu ya mwanaume mwanamke mmoja abigaeli alieolewa na mume mppumbavu si mimi biblia inasema hivyo.. Swala la kupata mke /mume sahihi linaitaji maombi sana wandugu na si kufikiria kirahisi
kuna watu wamekaa kwa wazazi na awafikirii kuondoka leo wala kesho na umri umeziidi kwenda si kwamba kuhama bali kufikiria kupata wenza wao na pengine sipendi sema vibaya juu yao..maana nina ndugu waathirika na nashukuru mungu atupe njia ya kushinda hili leo nimeona tujulishane jins gani ya kujitoa kwenye hii laana
zab 84:11 inasema bwana hutoa kitu chema so mke ama mume bedui huyo sio mpango wa mungu..wakristo wengi tumeidhinisha ati kwa kuwa tumeingia mkenge tunadai huyo ndio alietoka kwa mungu no..soma mpango wa mungu kukupa kitu chema...kuna roho za mapepo ndizo zinatawala kwenye hili swala tuanze na yafuiatayo natumani ukisoma ukaelewa fanyia maombi mungu atakuinua na utapata mpenzi wako mzuri tu toka kwa mungu....
1.jini mahaba
2.urithi kwenye ndoa
3.pito la mzao wakwanza
4.laana ya kifedha
5.majina tunayopewa na wazaz wetu
6.roho za kukataliwa
7.laana za wazazi
8.changamoto ya afya
9.changamoto ya kiroho