Vizuizi vinavyokufanya usioe ama kutoolewa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Ukiwa kama binadamu unaitaji kuwa na msaidizi wako ndio maana tunaona katika kitabu cha mwanzo mungu alimtafutia adamu msaidizi si kwamba adamu alikuwa hana uwezo la hasha alijua anaitaji kuwa na msaidizi wake wa karibu
vivyo hivyo ukiwa kama binadamu wa leo uniataji kuwa na msaidizi wako wa karibu kihalali hapa na zungumzia kwenye ndoa

ukisoma vitabu vya biblia utaona kwenye 1samweli 1;17-27, 1sam 18:2-26 utaona si zumuni la mungu kukupa mke asiesahihi
unaona daudi alioa mke asie sahihi;;ukija kwe sauli unaona alioa delila mke asie sahihi uwezi kumsaliti mumeo unaempenda hata siku moja si hivyo tuupande wa wanaume utasoma 1samweli 25:34-36 juu ya mwanaume mwanamke mmoja abigaeli alieolewa na mume mppumbavu si mimi biblia inasema hivyo.. Swala la kupata mke /mume sahihi linaitaji maombi sana wandugu na si kufikiria kirahisi
kuna watu wamekaa kwa wazazi na awafikirii kuondoka leo wala kesho na umri umeziidi kwenda si kwamba kuhama bali kufikiria kupata wenza wao na pengine sipendi sema vibaya juu yao..maana nina ndugu waathirika na nashukuru mungu atupe njia ya kushinda hili leo nimeona tujulishane jins gani ya kujitoa kwenye hii laana

zab 84:11 inasema bwana hutoa kitu chema so mke ama mume bedui huyo sio mpango wa mungu..wakristo wengi tumeidhinisha ati kwa kuwa tumeingia mkenge tunadai huyo ndio alietoka kwa mungu no..soma mpango wa mungu kukupa kitu chema...kuna roho za mapepo ndizo zinatawala kwenye hili swala tuanze na yafuiatayo natumani ukisoma ukaelewa fanyia maombi mungu atakuinua na utapata mpenzi wako mzuri tu toka kwa mungu....

1.jini mahaba
2.urithi kwenye ndoa
3.pito la mzao wakwanza
4.laana ya kifedha
5.majina tunayopewa na wazaz wetu
6.roho za kukataliwa
7.laana za wazazi
8.changamoto ya afya
9.changamoto ya kiroho
 
Ukiwa kama binadamu unaitaji kuwa na msaidizi wako ndio maana tunaona katika kitabu cha mwanzo mungu alimtafutia adamu msaidizi si kwamba adamu alikuwa hana uwezo la hasha alijua anaitaji kuwa na msaidizi wake wa karibu
vivyo hivyo ukiwa kama binadamu wa leo uniataji kuwa na msaidizi wako wa karibu kihalali hapa na zungumzia kwenye ndoa

ukisoma vitabu vya biblia utaona kwenye 1samweli 1;17-27, 1sam 18:2-26 utaona si zumuni la mungu kukupa mke asiesahihi
unaona daudi alioa mke asie sahihi;;ukija kwe sauli unaona alioa delila mke asie sahihi uwezi kumsaliti mumeo unaempenda hata siku moja si hivyo tuupande wa wanaume utasoma 1samweli 25:34-36 juu ya mwanaume mwanamke mmoja abigaeli alieolewa na mume mppumbavu si mimi biblia inasema hivyo.. Swala la kupata mke /mume sahihi linaitaji maombi sana wandugu na si kufikiria kirahisi
kuna watu wamekaa kwa wazazi na awafikirii kuondoka leo wala kesho na umri umeziidi kwenda si kwamba kuhama bali kufikiria kupata wenza wao na pengine sipendi sema vibaya juu yao..maana nina ndugu waathirika na nashukuru mungu atupe njia ya kushinda hili leo nimeona tujulishane jins gani ya kujitoa kwenye hii laana

zab 84:11 inasema bwana hutoa kitu chema so mke ama mume bedui huyo sio mpango wa mungu..wakristo wengi tumeidhinisha ati kwa kuwa tumeingia mkenge tunadai huyo ndio alietoka kwa mungu no..soma mpango wa mungu kukupa kitu chema...kuna roho za mapepo ndizo zinatawala kwenye hili swala tuanze na yafuiatayo natumani ukisoma ukaelewa fanyia maombi mungu atakuinua na utapata mpenzi wako mzuri tu toka kwa mungu....

1.jini mahaba
2.urithi kwenye ndoa
3.pito la mzao wakwanza
4.laana ya kifedha
5.majina tunayopewa na wazaz wetu
6.roho za kukataliwa
7.laana za wazazi
8.changamoto ya afya
9.changamoto ya kiroho
 
Asante ila sahihisho kidogo aliyemuoa delila ni Samsoni. Ubarikiwe!
 
Pdidy we ndo unaandika hii na unakot biblia!!!!
Bwana akubariki, duuh!.
hapa kaka umenena. me hua naona kama katika suala la kuoa bwana hakuna chochote cha kibinadam
ambacho tunaweza kufanya ili kuhakikisha tunaoa kwa usahihi zaidi ya kuomba sana kwa Mungu.
Hua watu wanoa/olewa na binadam, namanisha mtu awezae kubadilika ndani ya sekunde.
leo ni mwema sana, kesho ni mwingine.
 
Tuanze na
1.jini mahaba:
hawa ni mapepo ambao wamekuwa wakiingilia ndoa za watu na si tu hapo wakiona ndoa imesimama wako radhi kumuondoa dunian mmoja wa wanaowawekea kipingamizi...mahusiano mengi yameteswa namajini mahaba..majini haya huchukua kwanza ufahamu wa watu na hivyo kuingia kwao inakuwa rahisi...kivipi majini haya hufanya survey nakuona wapi palipo na udhaifu pengine umekuwa ukirudi usiku wa manane na kufanya mwenzako kuwa na hasira mara kwa mara kwenye ndoa basi hapa ndipo wanangangana na wewe mpaka wahakikishe ndoa yako imebaki historia...

kwa upande wa ma bachela
majini haya pia hufanya ngono na /wasio wana ndoa usiku pasipo kujijua ama kwa kujijua...kama umesikia wakati mwingine mtu anaota kavishwa pete ya uchumba lakini..hiini prophetic sign na kama hutoiondoa kwa maombi akika utabaki kuhudhuria engagement party/harusi za wenzio mpaka siku unaondoka dunian....kuna watu awana bwana wala awajaolewa wanaota wamezaa mapacha ..wewe ushtuki ukute mchumab wako amekukimbia huna mwezi leo unaota una mimba ujiulizi..sasa hawa unakuta wanawazalia majaini watoto..sikutishi kuna watu watu wengi wamezalishwa namajini kwenye ulimwengu wa dunia na roho...hili hukamata sehemu za siri kuhakikisha huna haamu kabisa na mwanaume ama mwanamke..kingereza wanaita spiritual husband/wife..kuna wengi ukiuliza watakwambia walishaota wanatoa ama kutolewa mahari lakini kila wakipata wachumba wanaishia kwenye kuvishana pete..sasa wewe ujuilizi utavishwa na wangapi??

2.urithi kwenye ndoa za wazazi:

hili nalo ni muhimu sana ndio maana tunashauriwa ukikua jitahdi kufanya familly mapping yenu..uwezi jua mama aliolewa akiwa na miaka 40 na baba labda akiwa na 45 ukazaliwa we unafurahia kuwepo tu dunian...hili ni somo wakakti mwingine ni laana za wazazi wako zinakufwata..ni kisasi ukiangalia unaweza kuta na bibi aliolewa na miaka kadhaa ukingoni...so ni wajibu wetu kufanya fammy mapping na kuanza kujitoa kwenye laana hii kwa maombi ya kufunga na kuomba na kukesha kumwambia mungu nakataa laana hii kisasi cha ukoo huu taja kwa baba na mama na kamaunajua babu wa babu wa babu yake taja jina ukimalize kabisa ...so utakuta mtu anapambana na hali hii kumbe ni yuko kwenye chain ya kisasi cha familia...aujaona familia baba anachana na mama ,watoto wanaachana na wake zao mapema..ukiangalia kwa bbibi na babu waliachana wakiwa na 45-50 leo wana 75-80 hii laana ..kuwa makini sana ..jivue gamba la laaana za familia zenu usiende kumtesa mwenzio kwa shda za baba na mamakomzazi

3:pitio la uzao wa kwanza:

Hapa naongelea uzao wakwanza..kuna ukisoma vitabu vya bibliautaona uzao wakwanza wengi walikuwa ndio mizigo ya laana za ukoona familia..hawa hubeba majukumu makubwa ya familia na kama we unaefwatia ujawa makini utakuta unasindikiza mustakabali wa maisha yake kwenye moto..sasa basi ukiwa kama mzao wakwanza unaitaji kumuomba mungu akupe ndoa sahihi...kama wwewe ni wapili nk..muhimu sana kumuombea huyu..kwa nini wakati mwingine asipooa hutoaa mpaka unaitwa nani sijui...na si hivyo hawa wazaliwa wa kwanza ni malango wakioa wakachika mapema nakwambia mlango wa wewe kumfwata alichofanya ni mkubwa ni wakati wa wewe kama uzao wakwanza kuomba mungu akupe mke sahihi ilindugu zako waweze kupata kilicho bora

4.laana yakifedha:
Hii nafikiri inajulikana watu wengi ukiliza kwa nini awaoi ama kuolewa watakwambia wanasubiri lifee iwe njema ni kweliakuna anaependa kuwa kwenye familia ilio namatatizo lakini kumbuka ni muhimu kujua wakati huwa aurudi nyuma..unaweza subiri ukakuta muda wako wa kuoa ama kuolewaumepitwa na wakati..ndugu zanguni ni wakati wako wa sasa ukiwakijana kuomba mungu akupe maisha yenye fedha za kutunza famailia yako..umaskini utajiri uko kwenye kinywa chako..tamka mwambie mungu unaitaji nini..nikupe mfano kakangu ajaoa ..mi wakati nafikiria kuoa ilinichukua muda unajua mambo ya wakaskazini usiulize kabila gani tfh....nikamwambia naitaji kuoa akaniambia nakwambia utarudi nyumban unaoa wakati pango la kulipia sinza shuguli kumbuka anaongea hivimi nimepanga yeye yuko kwa wazazi ..nikamwambia mungu ndie anaejua..nashukuru mke wangu tulipendana atuna kitu ila miujiza iliotokea ni mungu tu unamwachia..tulifunga wiki nzima kuomba mungu asimame na nda yetu nilipotoka kwenye ndoa ni sinza kwenye vyumba viwili vya kubanana..tukiwa pamoja huwa napenda kusalilunch time..nikaenda pale universal kanisa la wa brasil..nilipofika j3 kuna maombi ya baraka na kuvunja laana za mafanikio...nikiwa natoka akaja mamamoja akaniambia kaka sikujui unijui nikamwambia k akasema m ni dalali nimeokoka nampenda yesu kuna mtu ana kiwanja anauza mbezi beach ,,million 4.5 robotatu heka nikamwambia mmhh nipe namba yako nikarudi hme nikamkuta wife nikamweleza akasema nipe siku tatu tumulize mungu ..after 3 days tukamwona tukiwa na 3.7 m akasema achukui..akatushit baada ya siku 4 akapiga simu akadai twende tukamwombe anaetuuzia..tulipofika tukamwambia mungu kwanza hiki kiwanja tumekanyaga ni chetu by prophetic sign,yule mzee akakomaa mil 4 nikamwomba tuna 3.7 m akasema dalalimtmlipa nikamwomba dalali nimpe laki yake na nusu mwisho wa mwezi..leo niko mbezi beach ndani yanyumba kubwa tu na uwanja wa kumwaga..usiogope hilo ndilo ujumbe wangu mungu anauwazia mema anajua unapoeelekea kama si mwisho wako..ukifika wakati omba ndoa...
 
8.CHANGAMOTO YA AFYA:
SHETANI NI MBAYA SANA PALE ANAPOONA NDOA INAANZA KUMEREEMETA BASI ANATAFUTA KILA MNS YA KULITEKA NA KUWASAMBARATISHA
PENGINE NI WAKATI WAKO USIONE UMEAMKA ASBH NA KUNYWA CHAIUNALALA USIKU USHUKURU MUNGU NI MUHIMU KILAUAMKAPO NA KULALA SALI MSHUKURU MUNGU NI WAKATI WAKO KILA UNAPOKUWA MWENYE MWOMBE MUNGU AIMARISHE VYOMBO VYAKO VYA DOLA(SEHEMU ZA SIRI);;;PENGINE NI MMOJA WAPO LAKINI NAKWAMBIA MUNGU ALIE HAI UKIMWOMBA NA KUACHA DHAMBI WALIOSEMA AISIMAMI WATAKUITA KIBEBERU UKIWA HAI....WENGI NAJUA WANAOGOPA KUOA AMA KUOLEWA SABBABU YA AFYA ZA DOLA WANAZOIMILIKI..IMEKUWA NGUMU KUKUBALI KUTANGAZA SERIKALI YA UTAWALA WAKATIHUNAJESHI IMARA NA HILI NDILO SABABU WENGINE AWATAKI KABISA....UKIACHA AFYA YAKAWAIDA KUNA MAMBO 2 KAMA YAMEKUTOKEA HAYA

1..BOYFRIENDS/GIRLFRIENDS ULIOWAPITIA/waliokupitia
HAWA NI MUHIMU SANA KUWAFYEKA KWENYE ULIMWNGU WA ROHO UKIWA NJIANI KUOA AMA KUOLEWA WANA PLAY BIG PART KTK MAISHA YAKO KAMA UAMINI ULIZA WALIOOA BILA MAOMBI NA KUKWAMBIA ZAWADI WALIZOZIKUTA ..EG NAZI MBOVU;;KHANGA MBICHI IMETOKA KUFULIWA NA MENGINEYO UNAWEZA ONA KICHEKESHO LAKINI KITENDO CHA KUZIFUNGUA WEWE NDUGU IMEKULA KWAKO...ANZA KULAANI KILA AINA YA UCHAFU ULIOFANYA KWENYE MAISHA YAKO YAKILA SIKU ....KUNA WALIOKUTANA NA WANAWKE WANAWAPENDA WAKALAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI KINYUME CHA MAUMBILE ..UJATUBU MPAKA LEO UNAOA ALAFU UNASIKIA MKEO ANASULUBIWA SAME UNAANZA KUPIGA MAKELELE YA NINI SUBIRI SHURUBA KWENYE UZAO WA MWANAO UKAONE MATESO...HATA KAMA UMEFANYA DHAMBI GANI WAPENDWA MWOMBE MUNGU AKUSAMEHE AKUREKEBISHE UACHANE NA DHAMBI..KATIKA KITU NINACHOMBA MUNGU KILA SIKU NI KUONA TUNAKUTANA WANA JF WOTE MBINGUNI...SWALAL LA KUCHAT NA WENGINE ATUJUI WANAELEKEA WAPI SIO DILI SANA...

9.CHANGAMOTO YAKIROHO:

HII NDIO KEY POWER YA YOTE HAPO JUU..UKIWA UNA UFAHAMU WA KIROHO UNAJUA DHAMBI NIN NIN UNAJUA UNAIAJI KUMWOMBA MUNGU VIPI AKUPE MUME SAHIHI NA SI MUME MKE SAHIHI NA SI MKE BASI NAKWAMBIA HAYO YOTE HAPO JUU YANABAKI HISTORIA NA KUANZA KUCHEKA NA WATOTONA FAMILLIA YAKO KAMA BRO DIDY
MUNGU AKUPE UFAHAMU WA KUONA MBALI NA KUSOMA NYAKATI..WAPENDWA MUDA NI MUHIMU SANA SANA KWENYE MAISHAUSISUBIRI KAMA HUOUWAHI UTAKUWAHI WEWE NA SHURUBA YAKE NI NDEFU

WAKO
Pdidy
 
hongera kwa educative thread. inaingia kichwani na nafsini na kukuacha ukitafakari. ndio lengo la michango ya JF. asante tena na Big Up
 
Mmmmmh...Hili darasa zito kidogo..Asante kwa kutufahamisha ndugu.
 
mungu akubariki pdidy mh umegtusa mambo mazito na yamewagusa wenye ndoa na wasio na ndoa. God bless u
 

1..BOYFRIENDS/GIRLFRIENDS ULIOWAPITIA/waliokupitia
HAWA NI MUHIMU SANA KUWAFYEKA KWENYE ULIMWNGU WA ROHO UKIWA NJIANI KUOA AMA KUOLEWA WANA PLAY BIG PART KTK MAISHA YAKO KAMA UAMINI ULIZA WALIOOA BILA MAOMBI NA KUKWA
Nimependa sana hiki kipengele kwani kuna mahali tuliitwa mume/mke kwa asie husika, yaani mpenzi wako anakuita mume wangu au mke wangu angali hujamuoa/olewa nae usipo futa maneno hayo utajikuta meunganishwa kwenye ndoa feki nyingi na ile ya halali inayumba vibaya. Pongezi mleta mada japo niya muda mrefu lakini itabaki kuwa funzo kwa walio wengi watakayokutana nayo.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom