Amavubi, samahani naona nimekuingiza chaka. Viautilifu ni Pesticides kama ulivyoambiwa hapo juu, herbicides ni kwa ajili ya kuua magugu.
Mtambuzi baba yangu, hilo sio tusi. Sema tu wakati wewe ukisoma lilikuwa halina umuhimu maana tabia nchi ilikuwa haijaanza kutunyoosha.