Viwanja vya Yale yale Puna - PSFP

Babafetty

Senior Member
Nov 11, 2013
107
108
Kwa mwenye taarifa juu ya maendeleo ya viwanja vya Yale yale puna, Kigamboni kama watu wameshaanza kujenga ama bado.

Nataka nianze kujenga ila cjajua status yake kimaendelea , so ningependa kujua kama watu wameshaanza kujenga ama la, ni vile vilivyouzwa na PSPF.
 
Back
Top Bottom