Mradi mpya wa viwanja Kigamboni

May 21, 2022
13
7
MZIGO MPYA UMEINGIA SOKONI

KWA MARA NYINGINE TENA
TUNAWALETEA MIRADI MIPYA YA VIWANJA VILIVYOPIMWA KWA AJILI YA MAKAZI NA BIASHARA.

MIRADI MIPYA IPO
MWEMBE MDOGO UKOONI
MWASONGA
KIDETE BEACH PLOT
BEI YA VIWANJA INAANZIA
Tsh,8,000/= @ SQM KWA MITA MOJA YA MRABA HADI TSH,35,000/=

VIWANJA VIPO VYA UKUBWA TOFAUTI

VIMEPIMWA KUANZIA SQM 475 NA KUENDELEA

PIA TUNA VIWANJA MWASONGA

BEI YA CHINI YA KIWANJA NI MILION 1,8

MIRADI INAFIKIKA KWA URAHISI

HUDUMA ZA KIJAMII
UMEME
MAJI
SHULE
HOSPITALI

MALIPO
UNATANGULIZA 50% ILIYOBAKI UTALIPA KIDOGO KIDOGO
AU UTALIPA CASH IKIWA UTAWEZA

OFISI ZETU

TUNAPATIKANA MJIMWEMA GARDEN KWA ABOUD JUMBE
SIKU ZOTE ZA WIKI KUANZIA SAA 02:00 ASUBUHI HADI SAA 12:00 JIONI

SIMU NO. 0714-804182 / 0734-406719/0629-547366

KARIBU SANA KINGO PROPERTY LIMITED KWA UHAKIKA WA MAKAZI YAKO YA SASA NA BAADAE
 
Vp swala la Hati kutoka wizarani ....coz siku hz swala la Hati ndo linabeba kampuni nyingi za Real Estate .....na sidhani km kuna kampuni ya real estate ambayo haina viwanja kigamboni ....
Jiongezeni ili mpate wateja wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Ukweli Kabisa Swala La Hati Sio Tatizo Ila Kuna Tabia Ya Watanzania Kupenda Kuongopewa Hati Ni Mali Ya Serikali Ukisikia Mtu Anakuambia Atakupa Na Hati Moja Kwa Moja Maana Yake Hicho Kiwanja Tayari Kina Mmiliki Hivyo Utapata Hati Lakini Utalazimika Kufanya Transfer Ili Hati Iwe Na Jina Lako

Sisi Kingo Property Utaratibu Wetu Ni Kama Ifuatavyo

Njoo Sait Kagua Eneo /Ridhika /Lipia

Unapomaliza Kulipia Chukua Mkataba Wako wa Mauziano, / Jaza Form Kwa Ajili Ya Hati Tuachie Sisi Form Yako Au Ukipenda Fatilia Mwenyewe

Ila Ukituachi Sisi Tutafatilia Mpaka Hatua Ya Control Numba Utatumiwa Na Wizara

Na Hapo Jukumu La Kukabidhiwa Hati Litakuwa Ni Lako Kwani Hati Hakabidhiwi Mtu Yeyote Zaid Ya Muhusika tu.

Ukiona Kampuni Au Mtu Anapiga Picha Kuwa Anamkabidhi Mteja Hati Huyo Anfanya Maigizo , Muongo , Au Anamkabidhi Hati isiyo Na Jina lake Ili Akafanye Transfer. Kwa Maana Ni Hatua Nyingine Ngumu Kwa Mteja

Lakini Hati Zinapatikana Ondoa Hofu Mkuu
 
Asante sana kwa huu ufafanuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom