Viwanja vya serikali Gezaulole voucher zimetoka

Viwanja vya serikali Gezaulole voucher zimetoka

Ba Brio

Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
78
Reaction score
37
Ndg wadau voucher za viwanja vya mradi wa Gezaulole zimetoka. Kwa wale amabo majina yao yalitoka wakafuatilie. Wale amabo hawakupata mimi nimepata lakini uwezo wa kulipia sina. Kama uko tayari kunipa compensation kidogo nikupe voucher yangu ukalipie. Tuwasiliane kwa PM.
 
pia nina ninazo vocher za kutosha kwa anayehitaji tuwasiliane 0778 625 039
 
Usijali ndugu, watu waliopata hivyo viwanja watapelekewa vocha nyumbani kwao.
 
Una vocha ya eneo la ukubwa gani?usije ukawa tapeli??
 
kiwanja kinauzwa kwa vocha tena ? ama kweli dunia hadaaa
 
Akiri tupatie size na bei ya voucher ulizonazo. Kuna wateja kibao, nikiona bei zako ziko fresh nitawaambia wakutafute.
 
Last edited by a moderator:
kiwanja kinauzwa kwa vocha tena ? ama kweli dunia hadaaa

Yeah,
Ni kama zile za simu, unakwangua na kukuta ndani wamekuandikia kiwanja namba
 
Sijui vizuri vipimo hizo za sqm 2000 ni shilingi ngapi na kinalinganaje kwa vipimo vyetu vya kawaida labda uwanja wa mpira au nipe jibu nitakupigia ukijibu hayo
 
Sijui vizuri vipimo hizo za sqm 2000 ni shilingi ngapi na kinalinganaje kwa vipimo vyetu vya kawaida labda uwanja wa mpira au nipe jibu nitakupigia ukijibu hayo

Hii ni sawa na meter 40 X 50. Ni sawa na nusu ya kiwanja cha mpira kasoro meter 10 (approximately kama kutoka sehemu ya kupigia penalt mpaka katikati ya uwanja). Kwa mgawanyo wa viwanja hii ni very low density - yaani kiwanja ni kikubwa sana. Kwa bei ya serikali kiwanja kama hicho huwa kama mil. 18 hivi, kwa hiyo bei ya kilanguzi jiandae kuanzia mil. 30.
 
Back
Top Bottom