Viwanja vya bei nafuu

Viwanja vya bei nafuu

Gor

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,791
Reaction score
850
Size ya kiwanja; 50ft kwa 40ft bei ni 2mil,wahi mapema kabla ya December kwisha,mwakani viwanja vyote vitapanda bei.

Eneo la viwanja ni Msongola Ilala,karibu sana na uwanja wa Azam complex.

Hali ya viwanja; vinauzwa kama mashamba chini serikali ya mtaa Msongola.

Contact..... 0717 288306
 
Kaka hivo viwanja havina mgogoro wowote like ugomvi na mambo mengne?Je vina hati au vithibitisho vyovyote mana kuna sehem nlinunua kiwanja chini ya serikali ya mtaa na baadae nikadhulumiwa hiv hivi mpaka ikawa aibu.Naomba unijibu hayo juu na nan ni mmiliki wa hivo viwanja na anaviuza yeye kama yeye au vilikua vnamilikiwa na serikali ya mtaa?
Je eneo ni tambarale au lina muinuko?
 
Mimi nina kiwanja kipo chamazi sheli meta50 kwa40. Nauza milioni 14. Kipo barabarani kabisa. Mwenye kuhtaji anipm nimpe namba 2tafanye maelewano. Bei inapungua.
 
Kaka hivo viwanja havina mgogoro wowote like ugomvi na mambo mengne?Je vina hati au vithibitisho vyovyote mana kuna sehem nlinunua kiwanja chini ya serikali ya mtaa na baadae nikadhulumiwa hiv hivi mpaka ikawa aibu.Naomba unijibu hayo juu na nan ni mmiliki wa hivo viwanja na anaviuza yeye kama yeye au vilikua vnamilikiwa na serikali ya mtaa?
Je eneo ni tambarale au lina muinuko?
halafu ukizingatia viongozi wengi wa serikali ya ccm WANAACHIA NGAZI
 
Back
Top Bottom