josewatano
Member
- Sep 20, 2011
- 65
- 25
viwanja vinne vyinavyolusu makazi ya kawaida vimepimwa kabisa na vipo karibu na miundo mbinu maji barabara umeme vipo mwanza mjini eneo la buhongwa bei kuanzia mil 8 mpaka 10 anayeitaji ani PM miye si dalali
Buhongwa ni Usagara kabisa. 3mil ni halali
mkuu maeneo ya Nyegezi ukiwa na 3mil kwenda juu unapata kiwanja safi kabisa kilichopimwa...