Plot4Sale Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Goba Muungano

exponential

Member
Jul 1, 2017
91
61
Viwanja vizuri vimepimwa vina mawe, vipo viwanja vingi vilivyobaki vinaanzia ukubwa wa 500 sqm ( 25m × 20m ).

Bei ni Tshs 40,000 kwa 1sqm.
Mfano Kama unahitaji kiwanja cha ukubwa wa 500sqm, 500 × 40,000 = 20,000,000

Eneo la viwanja huduma zote zipo, umeme upo jilani, maji yapo jilani na barabara ni nzuri.

Goba Muungano ipo umbali wa kilomita 6 kutoka Mbuyuni Kunduchi/Bagamoyo road.

Viewing Charge - Tshs 20,000
Agent fee - 5%
Enquiry - 0679268006

Screenshot_20230911_172033_Microsoft%20365%20(Office).jpg
 
Madalali hua mnajifanya kama watoto, kwenda kumuonesha mtu kiwanja unamchaji elf 20, alafu usafiri yeye ndo anagharamikia, akinunua akupe commission 5% na bado muuzaji anakupa commission

Yaani mmekaa kiwiziwizi sana
 
Madalali hua mnajifanya kama watoto, kwenda kumuonesha mtu kiwanja unamchaji elf 20, alafu usafiri yeye ndo anagharamikia, akinunua akupe commission 5% na bado muuzaji anakupa commission

Yaani mmekaa kiwiziwizi sana
Kama ungekuwa wewe dalali ungechaji vipi?
 
Hiyo Goba Muungano ipo wapi?umbali wa kilomita 6 kutoka mbuyuni/kunduchi kwenda uelekeo wa wapi?
 
Hio pesa 20,000 mnachaji ni ya kipi haswa? Wakati biashara ikifanyika mnapata commission pande zote
Umetumia neno zuri " Biashara " , kwenye kila biashara kuna negotiations zinafanyika kama discounts.
Huwa mteja akiomba discounts kwenye 5% anapewa discounts.

Wafanyabiashara wote mzoefu wanajua haya mambo, unaonekana wewe mgeni kwenye masuala ya biashara.
 
Hio pesa 20,000 mnachaji ni ya kipi haswa? Wakati biashara ikifanyika mnapata commission pande zote
Just like how doctors or lawyers charge people for a consultation fee before attending to them, some real estate agents also believe that they have the right to charge people before attending to their housing needs.

People also seek the services of agents for various reasons not all buyers and no agent will want to give away for free.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom