Plot4Sale Wahi mradi wa viwanja vizuri Kigamboni

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
3,060
2,115
Tumekata Viwanja vingine Hapa Kigamboni

LOCATION Kibada Kilomita 1½ Toka Lami

UKUBWA Sqmt 400, , 500 hadi 700

DOCUMENT Pamepimwa Tayari

BEI Elfu 35 Kwa Kila Sqmt 1
Mfano Sqmt 400 utapata kwa mil 14
Sqmt 500 kwa mil 17.5
Sqm 700 kwa Mil 24.5

Ni umbali Wa kilomita 9 Toka Ferry
Eneo Lipo Sehemu Nzuri Linafaa kwa Makazi ,kuna nyumba nzuri za Kisasa na huduma Muhimu kama Umeme na maji vipo jirani Na Eneo

Call
0718295182
0765505909 View attachment 2799769
 

Attachments

  • VID_20231015_170056_exported_9637.jpg
    VID_20231015_170056_exported_9637.jpg
    75.4 KB · Views: 25
Miradi iliyopimwa ni bora zaidi kwani inakua katika mpangilio mzuri kimtaa, Pia Ni Rahisi Kupata Hati na hiyo inasaidia kukopesheka kirahisi kwenye mabenki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom