Viwanja vinaunzwa mwanza mjini


J

josewatano

Member
Joined
Sep 20, 2011
Messages
59
Points
95
J

josewatano

Member
Joined Sep 20, 2011
59 95
viwanja vinne vyinavyolusu makazi ya kawaida vimepimwa kabisa na vipo karibu na miundo mbinu maji barabara umeme vipo mwanza mjini eneo la buhongwa bei kuanzia mil 8 mpaka 10 anayeitaji ani PM miye si dalali
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
48,069
Points
2,000
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
48,069 2,000
Mwanza kiwanja milioni 8 halafu Buhongwa, duh!!!
 
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Messages
14,534
Points
2,000
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2011
14,534 2,000
Buhongwa ni Usagara kabisa. 3mil ni halali
 
Bob Lee Swagger

Bob Lee Swagger

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
1,366
Points
1,195
Bob Lee Swagger

Bob Lee Swagger

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
1,366 1,195
mkuu maeneo ya Nyegezi ukiwa na 3mil kwenda juu unapata kiwanja safi kabisa kilichopimwa...
nyegezi sehem gani mkuu? manake wadau wanasema nyegezi ni ghali sana!
 

Forum statistics

Threads 1,294,734
Members 498,025
Posts 31,186,322
Top