Viwanja vinakopeshwa Chanika

Viwanja vinakopeshwa Chanika

Sir Kanumba

Member
Joined
Dec 25, 2014
Posts
49
Reaction score
2
LIle zoezi la kukopesha viwanja chanika linaendelea
Viwanja vinapatikana chanika mwisho eneo linaitwa
Lukooni pamoja na zingiziwa, ukubwa wa VIWANJA ni 20&20
Ukitaka kulipia cash ni sh milion na laki tano (1500000)
Kwa kiwanja kimoja,
Cont 0715 416464


Angalizo
Naomba Kama una swali kuhusu hii post unibeep ama unipigie kwa namba yangu
Hapo juu
Maana inakera sana wakati watu wengine wako busy na kazi watu wengine wapo
Busy kukosoa na kupost mambo yasiyo ya msingi na kukebehi BIASHARA za watu
Wengine.
 
Back
Top Bottom