Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 70
dar live nyama ya swala ni hatareee.makange rose G.element kama kawa
Hisaje Park...
Boko Magengeni
we umejenga hata kibanda cha vyumba 2?
chezea maisha,kula bata mjini,fainali uzeeni? utakufa kama Kanumba
AKEMI is the baddest news in town! Laki si pesa millioni deni! Dinner ya 2 people mkiacha tu laki tu 3 sio breaking news. Chezeya moving restaurant!(Sijatia chumvi) Dinner is srictly by booking! Hapana chezeya IndianFrench standards ndani ya bongo!
Kuna ALBASHA kwa sie tunaopenda mapigo ya Arabic! Lebanese cuisines!
Na vingi vile vile vya kila siku. Run way, ambassador, level 8, Savannah, Et al kwa nyie wa kishua.
Mango garden, Mashujaa kwa MAMAAAA SAKINA (Huku ni vingunguti kiembe mbuzi, uswaziiiinoma noma! Ila kunanogaje mbaya sasaaa! Acha kabisaaa! Mauono ya internent hayazeeki na kuzaa kote.) Meda, B bar, Kibo complex, didys, Jackies, Q bar, Cine club, giraffe, ET AL! Kwa wabono wa kawaida tusiopenda makuu na tunaopenda kunywa bia zetu kwa amani na utulivu pasi mashauzi yasiyo na maana!
Casino pia zile zile karibu zote za wahindi. New Africa, Las Vegas, Seacliff, Le grande (Hii inanoga sanaaa nasikia). In short mujini hakuna jipya kivileeeeeeee!
Viwanja vya kuspend na family ndo vinaongezwa!
Uwanja wa fisi manzese na bugurini pale mataa upande wa kulia kama ukitokea ubungo hivyo ndio bonge la viwanja kwa sasa dar
hahahahahahahahah kweli mmeifanya sku yangu kuwa nzur nmechoshwa na game ya brazil vs spain bt dahhhhh nmerlux kwa hivi vwanja alvyoshauriwauwanja wa fisi manzese na bugurini pale mataa upande wa kulia kama ukitokea ubungo hivyo ndio bonge la viwanja kwa sasa dar
AKEMI is the baddest news in town! Laki si pesa millioni deni! Dinner ya 2 people mkiacha tu laki tu 3 sio breaking news. Chezeya moving restaurant!(Sijatia chumvi) Dinner is srictly by booking! Hapana chezeya IndianFrench standards ndani ya bongo!
Kuna ALBASHA kwa sie tunaopenda mapigo ya Arabic! Lebanese cuisines!
Na vingi vile vile vya kila siku. Run way, ambassador, level 8, Savannah, Et al kwa nyie wa kishua.
Mango garden, Mashujaa kwa MAMAAAA SAKINA (Huku ni vingunguti kiembe mbuzi, uswaziiiinoma noma! Ila kunanogaje mbaya sasaaa! Acha kabisaaa! Mauono ya internent hayazeeki na kuzaa kote.) Meda, B bar, Kibo complex, didys, Jackies, Q bar, Cine club, giraffe, ET AL! Kwa wabono wa kawaida tusiopenda makuu na tunaopenda kunywa bia zetu kwa amani na utulivu pasi mashauzi yasiyo na maana!
Casino pia zile zile karibu zote za wahindi. New Africa, Las Vegas, Seacliff, Le grande (Hii inanoga sanaaa nasikia). In short mujini hakuna jipya kivileeeeeeee!
Viwanja vya kuspend na family ndo vinaongezwa!
Nyuzi kama hizi katika utawala wa Mjomba Magu zinapotea kwa Kasi kama FaruBATA leo tumezianza mapema wengine.....
Aende kwa Hawa wachungaji ambao ukienda tu kitu cha kwanza wanaanza kuvizia mshahara wakoSiku za mwisho wa dunia ndiyo sasa. Badala ya kuulizia yalipo makanisa na misikiti watu wanaulizia majumba ya laana.
Mtajibu nini kwa muumba wenu siku ya mwisho?.
Mkuu mpaka Leo una nyumba ngapi? Umeenda nayo Dodoma?pole sana.si kila mtu achaguacho au kukipa kipaumbe kina manufaa kwake.mtu akichagua kwa hasi au manufaa hasi ni mjinga na wengi wako hivyo.
unasema nyumba siyo kila kitu mjini,kila kitu mjini nini nini 'Gari'?
kwa ufupi hakuna kinachoweza kuwa kila kitu mjni bali kuna kinachoweza kuwa muhimu zaidi kuliko kingine,.issue iko hapo
wengi wenu mnafikiri starehe kubwa ndiyo maisha ya kisasa,mimi nasisitiza kuwa mtu yoyote anayeendesha masisha kwa kufikiria starehe kwanza ni mjinga ! quote me!