AKEMI is the baddest news in town! Laki si pesa millioni deni! Dinner ya 2 people mkiacha tu laki tu 3 sio breaking news. Chezeya moving restaurant!(Sijatia chumvi) Dinner is srictly by booking! Hapana chezeya IndianFrench standards ndani ya bongo!
Kuna ALBASHA kwa sie tunaopenda mapigo ya Arabic! Lebanese cuisines!
Na vingi vile vile vya kila siku. Run way, ambassador, level 8, Savannah, Et al kwa nyie wa kishua.
Mango garden, Mashujaa kwa MAMAAAA SAKINA (Huku ni vingunguti kiembe mbuzi, uswaziiiinoma noma! Ila kunanogaje mbaya sasaaa! Acha kabisaaa! Mauono ya internent hayazeeki na kuzaa kote.) Meda, B bar, Kibo complex, didys, Jackies, Q bar, Cine club, giraffe, ET AL! Kwa wabono wa kawaida tusiopenda makuu na tunaopenda kunywa bia zetu kwa amani na utulivu pasi mashauzi yasiyo na maana!
Casino pia zile zile karibu zote za wahindi. New Africa, Las Vegas, Seacliff, Le grande (Hii inanoga sanaaa nasikia). In short mujini hakuna jipya kivileeeeeeee!
Viwanja vya kuspend na family ndo vinaongezwa!