Viwanja vikali vya matanuzi Dar, hebu tujuzane wadau...

HONGERA baba/mama mwenye gari!
jidanganye hivyo na maisha yanasonga mbele.
hakuna shida hata wanao utawaridhisha gari! lakini kumbuka ikitokea ukafa kabla ya kujenga na ukaacha magari,watoto wako wanaweza kucharaza bakora kaburi lako.

Acha fikra potofu....ukitaka kujua mwenzio ni hard thinker angalia ujume wake wa mwisho...una maana kubwa sana, ""kupanga ni kuchagua""" ukifikiria kufa kama vile ni bahati mbaya unakosea sana....istoshe nyumba sio kila kitu hapa town
 
pole sana.si kila mtu achaguacho au kukipa kipaumbe kina manufaa kwake.mtu akichagua kwa hasi au manufaa hasi ni mjinga na wengi wako hivyo.

unasema nyumba siyo kila kitu mjini,kila kitu mjini nini nini 'Gari'?
kwa ufupi hakuna kinachoweza kuwa kila kitu mjni bali kuna kinachoweza kuwa muhimu zaidi kuliko kingine,.issue iko hapo
wengi wenu mnafikiri starehe kubwa ndiyo maisha ya kisasa,mimi nasisitiza kuwa mtu yoyote anayeendesha masisha kwa kufikiria starehe kwanza ni mjinga ! quote me!
 
Nenda kimara kwenye mbuzi katoliki

yea aje huku kwetu kimmara resort pale kwa juu chini barabata ya lami na kiupepo nomaaaa,Shekinah Garden,Reca hotel ipo Mivumoni....hatariiii...tembelea halafu uje utoe majibu hapa......bila kusahau New Bahari beach.
 
pole sana.si kila mtu achaguacho au kukipa kipaumbe kina manufaa kwake.mtu akichagua kwa hasi au manufaa hasi ni mjinga na wengi wako hivyo.

unasema nyumba siyo kila kitu mjini,kila kitu mjini nini nini 'Gari'?
kwa ufupi hakuna kinachoweza kuwa kila kitu mjni bali kuna kinachoweza kuwa muhimu zaidi kuliko kingine,.issue iko hapo
wengi wenu mnafikiri starehe kubwa ndiyo maisha ya kisasa,mimi nasisitiza kuwa mtu yoyote anayeendesha masisha kwa kufikiria starehe kwanza ni mjinga ! quote me!
Life is nothing but "The pursue of happiness".
Usilazimishe umuhimu wa jambo fulani kwa mtu mwingine.
 
Hahahahaaa.... Mkuu inaonyesha una hasira sana na maisha.., Kila mtu unafanya ile kitu inampa raha. Wengine raha zao ni kujenga, wengine ni kustarehe.

Kaka Tuko naona jamaa anatokwa na povu ile mbaya! utafikiri kuna aliyemuambia atanunua magari tu maisha yake yote! kujenga pia tutajenga, ndo mana nikampa phrase hii..."kupanga ni kuchagua", nimechagua kuanza na gari, hawezi kujua gari litanisaidiaje ktk kufanikisha kujenga...halafu namshangaa anavyotawaliwa na fikra za kufa, eti "nikifa leo" hahaha
 
HONGERA baba/mama mwenye gari!
jidanganye hivyo na maisha yanasonga mbele.
hakuna shida hata wanao utawaridhisha gari! lakini kumbuka ikitokea ukafa kabla ya kujenga na ukaacha magari,watoto wako wanaweza kucharaza bakora kaburi lako.

Ha ha ha mbona unatokwa na povu sana mkuu! utafikiri nimekwambia nitanunua magari tu maisha yangu yote! kujenga pia nitajenga, ndo mana nikakupa phrase hii..."kupanga ni kuchagua", nimechagua kuanza na gari, huwezi kujua gari litanisaidiaje ktk kufanikisha kujenga...huenda gari litanisaidia kuwahi kufika kazini na kutimiza majukumu yangu, na hali hii ikapelekea ufanisi na ongezeko la kipato ambalo litanisaidia kujenga...we jamaa vp mbona unaanza kuleta self interests hapa...
 
Acha fikra potofu....ukitaka kujua mwenzio ni hard thinker angalia ujume wake wa mwisho...una maana kubwa sana, ""kupanga ni kuchagua""" ukifikiria kufa kama vile ni bahati mbaya unakosea sana....istoshe nyumba sio kila kitu hapa town

Kaka hata mimi nina mawazo kama yako kwamba huyu jamaa hajaielewa hii phrase "kupanga ni kuchagua", so tusimlaumu sana!
 
Nenda Temeke, eneo linaitwa Kwa Sokota, kuna Bar inaitwa SugarRay , utakula Pumbu za Mbuzi na Kondoo
 
Kaka Tuko naona jamaa anatokwa na povu ile mbaya! utafikiri kuna aliyemuambia atanunua magari tu maisha yake yote! kujenga pia tutajenga, ndo mana nikampa phrase hii..."kupanga ni kuchagua", nimechagua kuanza na gari, hawezi kujua gari litanisaidiaje ktk kufanikisha kujenga...halafu namshangaa anavyotawaliwa na fikra za kufa, eti "nikifa leo" hahaha

ukweli ni kuwa gari inaweza kujenga au kununua nyumba, ila ni ngumu kwa nyumba zetu hz za kawaida kununua gari.
 
maisha ni mipango wache ale bata atajenga muda ukifika.Nenda river sider kuna bar inaitwa Zambezi
 
Hhahahaaaaaaaaa! Kona ya mawenzi imediately baada ya chama pale hiyo italian ndo ipo bisha? Ya siku nyingi sanaaa ile mahala! Toka niko second year. TBT siku hizi nikoenda kunabambaa ni More fire kwa Papaaaa Pedesheee John Mangi! Dar west park na Swiss Pub.

Bila kusahau Wallet pub, copa cabana, na Babylon
 
Siku za mwisho wa dunia ndiyo sasa. Badala ya kuulizia yalipo makanisa na misikiti watu wanaulizia majumba ya laana.

Mtajibu nini kwa muumba wenu siku ya mwisho?.
 
Hahahahaaa.... Mkuu inaonyesha una hasira sana na maisha.., Kila mtu unafanya ile kitu inampa raha. Wengine raha zao ni kujenga, wengine ni kustarehe.

tukijenga wote NHC watakaa kina nani na watu walio wekeza kwenye real estate biashara zao wafunge wauze mbilimbi?sio lazima wote tujenge.
 
Back
Top Bottom