Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,734
- 9,913
Wakuu hembu mwenye taarifa atujuze.
Mie kwangu Star TV haishiki,mamboya AZAM TV,ila Wife yupo Dar ameniambia kwamba ameona Tangazo kwenye Star Tv kwamba kuna viwanja katika Mji wa mfano na wameweka picha zake kwenye tangazo jinsi utakavyokuwa,yaani kama walivyofanya Pongwe City tanga.
Kwahiyo Halmashauri ya Kibaha imetangaza kuuza viwanja kwa mji huo.
Ningependa
a)Kama kuna mwenye Picture atuwekee hapa
b)Je bei zake zipoje
Maana Halmashauri zetu hata website hazina.Ni Sheedaa hawa wakurugenzi wa analojia.