Viwanja bei nafuu dar.

marandu2010

JF-Expert Member
Aug 7, 2010
1,199
435
HALLOW WADAU WENZANGU,KWA WALE MIONGONI MWENU WANAOHITAJI VIWANJA VIZURI KWA BE NAFUU KABISA,KUANZIA MILIONI MOJA,WAWASILIANE NAMI KUPITIA NAMBA 0784327429/0767327429 AU EMAIL ammarandu@gmail.com.UKITAKA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NAMI KWA HIZO NAMBA AU HIYO BARUA PEPE.NI VIZURI UKANUNUA KIWANJA SASA HIVI KULIKO KUSUBIRI BAADAYE AMBAPO UTAKUWA UNAVISIKIA NA KUVIONA VYA WENZAKO TU HUKU UKISHINDWA KUYAEUPUKA MAUDHI NA BEI ZA MWENYE NYUMBA,ASANTENI SANA.
 
Wewe ndo mchaga wa kwanza usiejua biashara,viwanja bei nafuu dar kuanzia mil1 basi tu?
1.Vipo wapi dar kubwa
2.Hivyo vya mil1 ni size gani
 
naona huyu ni mgeni wa marketing!ndugu elezea viwanja viko wapi?wilaya gani?waweza kuta ni mabwepande huko wanakopelekwa wahanga wa mafuriko!kuwa specific kabla hatujakupigia simu na kutuma mail.asante
 
halafu mtu anakwenda kwa mganga kutafuta dawa ya biashara...
hata kutoa maelezo hawezi......
nimecheka sana baaada ya kusoma hii comment yako....halaf kakimbia baada ya kuweka post....sasa sijui atapataje comment za watu?! au anadhani kwa kuweka hilo litangazo lake na namba za simu ndio mwisho wa kila kitu?
kazi bado tunayo...ngoja waje wakenya hapa wanaojua kutangaza biashara pachimbike bila jembe....
 
HALLOW WADAU WENZANGU,KWA WALE MIONGONI MWENU WANAOHITAJI VIWANJA VIZURI KWA BE NAFUU KABISA,KUANZIA MILIONI MOJA,WAWASILIANE NAMI KUPITIA NAMBA 0784327429/0767327429 AU EMAIL ammarandu@gmail.com.UKITAKA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NAMI KWA HIZO NAMBA AU HIYO BARUA PEPE.NI VIZURI UKANUNUA KIWANJA SASA HIVI KULIKO KUSUBIRI BAADAYE AMBAPO UTAKUWA UNAVISIKIA NA KUVIONA VYA WENZAKO TU HUKU UKISHINDWA KUYAEUPUKA MAUDHI NA BEI ZA MWENYE NYUMBA,ASANTENI SANA.

Sio jukwaa stahiki afu tanganzo halijitoshelezi ni kama tangazo la kuuza bamia hata hilo huwa linataja idadi ya bamia kwa fungu na bei!
Usikurupuke kwenye fani za watu, sawa Mangi!
 
Viwanja Dar?
1-umbali gani kutoka posta (KM)
2-Ukubwa wa Kiwanja (square Meters)
3-Vimepimwa na Serikali
4-Vina hati miliki au viko ktk mchakato
5-Umbali gani Gani kutoka barabara kubwa ,,eg Morogogoro road,bagamoyo road,kilwa road.

kwa bei ya 1 mil ,Ukiweka majibu yake utapata wateja ndani ya wiki utakuwa umemaliza biashara
 
Nisubirini, ngoja nikamtafute nilemte hapa atujibu maswali yetu!! anatutamanisha kisha kaingia mitini!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom