Viwango vya mshahara serikalini degree 1

Embu tuambie kabla ta July 2019 walikua wanakula ngapi hao majamaa...enh..
 
Nafikiri wengi wanahitaji mada ya namna ya kupata kazi serikalini kabla ya kujua mishahara. Ukikaa miaka 4 home na degree halafu huna kazi, ukiitwa sehemu mshahara 360,000/=, unaweza kukubali hata kufanya usiku na mchana
[emoji1787][emoji1787]
 
Sema ukisikiliza sana mada kama hizi utaishia kuambiwa bora kujiajiri kuliko kuajiriwa

Lakini bado tunazihitaji ajira, ingekuwa kujiajiri ni rahisi hivyo pasingekuwa na lundo la waajiriwa kuliko waliojiajiri

Kwanza anayekwambia jiajiri humjui, hujui kama yeye amejiajiri na anapata pesa ngapi, isijekuwa ni kutaka wote tulostike tu
 
Umeongea vizuri sana mkuu.
 
Kila MTU anataka kujiajiri ila ni muhimu kuajiriwa ili upate msingi na mtaji. Vijana tafuteni ajira mkipata kopeni anzisheni miradi. Ikisimama acha kazi simamia mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…