Viwango vya mshahara serikalini degree 1

Mishahara ya wajiriwa wa Tanzania ni mishahara mbuzi. Imagine unapiga kazi mwezi mzima afu unapewa laki tisa duh!?
Hii kwa graduate ambaye alikuwa kitaa Hana hili Wala Lile ni pesa nyingi.. Binafsi siwezi DHARAU mshahara kama huu Hali ya kuwa nilikuwa nipo kitaa hata 100000 kwa mwezi sipati.
Hivi wewe Hadi una-undermine mshahara wa Laki 9, mwenzetu Huwa unaingiza pesa ngapi kwa mwezi..?
Hata kama ni nyingi sioni sababu ya kucrush Mishahara ya watu namna hii
 
Mkuu sijadharau mshahara. Tatizo muda unaotumika kuipata iyo laki tisa, ni mrefu sana
 
Mkuu we ni mgeni kwani jamii forums?
 
Serikali hailipii ukubwa wa eneo lako la kazi. NI hiyo hiyo TGS B
Hawa watendaji wa kata wengi elimu zao ni za degree na hawa wa mtaa ni cheti au form six au diploma,inakuwaje sasa wafanane mishahara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…