Tawa hakuna kitu SEMA TANAPA SCALE YAO ya mishahara ni tishio Tanzania kwa anayeanza 1.5 MILION halafu form iv kwa TANAPA tawa hakuna pesa Bora uingie police uhonge ukawe trafick bara bara ya chalinze to DSM

Tanapa hakuna maajabu. Nimefanya kazi huko as a ranger 2013-2015 hifadhi ya Serengeti. Ranger wa tanapa mshahara mdogo tu. Tulikuwa tunatamani tungefanya kazi NCA.
Posho pia ilikuwa kawaida tu.
Reforms zikaongeza posho lakini mfumo mpya kuanzia mwaka juzi sijui mwaka jana wanasema unawaathiri issue za posho.
Nina jamaa zangu niliwàacha huko wako bado mpaka kesho.
Kwasasa sijui mengi ya huko nisije kudanganya
Kwa wasiofahamu virefu vya TAA na TCAA
TAA= Tanzania Airports Authority
TCAA=Tanzania Civil Aviation Authority
ICAO=International Civil Aviation Organisation