Mwenye ulewa na hii taasisi ya TAWA(Tanzania Wildlife Management Authority))wanavyolipa, na posho zake zilivyo katika ngazi tofauti tofauti naomba atujuze.
Pesa nzuri tu. Usiende kuiba meno ya tembo.
Watumishi wa TAWA wana roho mbaya sana. Wanataka waibe wao tu. Wakikushika hata unavua kambare Selous risasi mali yako