Kayeja denis
New Member
- Nov 18, 2019
- 2
- 1
Habari!
Nilikuwa napenda kufahamu makato mazima kwenye viwango vya mishahara
Mfano:
Income tax %?
Bima %?
NSSF %?
Na kuhusu bima, makato yake yanakuwa vipi? Kama pia yanakatwa in terms of % hawaoni kam mtu mwenye salary mfano 1.5M na mwenye laki 5, wanakatwa sawa ila wanapata the same service?