Viwango vya majengo yanayojengwa dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwango vya majengo yanayojengwa dar

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by chibhitoke, Jun 3, 2010.

 1. c

  chibhitoke Member

  #1
  Jun 3, 2010
  Joined: Jun 1, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mtazamo wangu nilikuwa nashauri serikali ingepitisha sheria kuwa mtu anayetaka kujenga jengo jipya mjini-posta, kariakoo, upanga lazima jengo hilo liwe angalau na eneo la juu au la chini la maegesho ya magari yasyopungua 30. Hii itasaidia kupunguza msongamano wa magari na pia kufanya majengo yenye akili kujengwa mjini. Majengo ambayo muda wake wa ardhi umekwisha yabolewe na sehemu hizo zibakie kuwa wazi hadi wapatikane wajenzi siriasi kuliko Watu wanavyoendelea kujenga majengo yasiyo na hadhi ya kuwa kwenye jiji.
   
Loading...