wigo
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 914
- 506
List ya viwanda uchwara ipo, ambavyo ni viwanda vya kupiga matofali, ushonaji,ususi, welding, furniture.Chadema watanyooka tu.
Wamejaa roho za korosho
Hili ni changa la macho. Serikali ya magufuli haina mikakati katika maendeleo ya viwanda.