Na Brenda ya juicesViwanda vya kufyatulia matofali
Na Brenda ya juicesViwanda vya kufyatulia matofali
Swali lako zuri sana.Kati ya hiyo idadi ya hivyo viwanda... viwanda vidogo vidogo ni vingapi... na viwanda vikubwa ni vingapi. Na vime produce ajira ngapi?
Ni mashine za kusaga mahindi ndio hivyo viwanda kweni hapo mtaani kwenu hakuna hicho kiwanda kimoja !? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivyo viwanda viko wilaya gani na mkoa gani?
[emoji106] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nafikiri wamehesabu na wale wamama wanaoponda kokoto kule Africana ni kama viwanda.
Ni kama wakati wa JK..
Kila siku tulikuwa tunaambiwa ajira zimeongezeka... kumbe wanahesabu bodaboda zilizosajiliwa kwa biashara TRA na wale waokota makopo ya plastic... Shame!!
Ni mashine za kusaga mahindi ndio hivyo viwanda kweni hapo mtaani kwenu hakuna hicho kiwanda kimoja !? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na hautakuja kuviona kamwe. Unaishi jijini habari mpya kwako ni ile unayoiona ITV au Channel Ten, utaweza vipi kuziona fursa zilizojaa kila mkoa. Kama wewe wapo wengi sana.Labda viko majumbani kwao make mie huku niliko siyo mkoa wala wilaya ..tokea wameingia hawa jamaa sijaona kiwanda chochote kipya hata cha kukaanga vitumbua, sijaona
Hata cha AzzamLabda viko majumbani kwao make mie huku niliko siyo mkoa wala wilaya ..tokea wameingia hawa jamaa sijaona kiwanda chochote kipya hata cha kukaanga vitumbua, sijaona