Shin Lim JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 8,336 Reaction score 15,356 Dec 23, 2022 #141 Chief-Mkwawa said: Hapa pia kuna upigaji wa maana mkuu. Vivo Y20S inauzwa zaidi ya laki 6, ni simu ambayo thamani yake haizidi laki 3 Bora mkuu ujichange mwenyewe kuliko kulipa kitu mara 2 ya thamani halisi. Click to expand... bora umenishitua, jana nikawa nasoma nikiangalia specs za simu nikifananisha na nyingine nikaona kabisa mbona upigaji kabisa huu. Hesabu za kwenda na cash tigoshop zipo, kuna simu hizi nimezipenda REDMI 10 4/128 = 480,000 Click to expand... Redmi 10C = 128GB 400,000 Click to expand... NOTE 11 6/128GB 550,000 Click to expand...
Chief-Mkwawa said: Hapa pia kuna upigaji wa maana mkuu. Vivo Y20S inauzwa zaidi ya laki 6, ni simu ambayo thamani yake haizidi laki 3 Bora mkuu ujichange mwenyewe kuliko kulipa kitu mara 2 ya thamani halisi. Click to expand... bora umenishitua, jana nikawa nasoma nikiangalia specs za simu nikifananisha na nyingine nikaona kabisa mbona upigaji kabisa huu. Hesabu za kwenda na cash tigoshop zipo, kuna simu hizi nimezipenda REDMI 10 4/128 = 480,000 Click to expand... Redmi 10C = 128GB 400,000 Click to expand... NOTE 11 6/128GB 550,000 Click to expand...
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,229 Reaction score 44,240 Dec 23, 2022 #142 Chen Hu said: bora umenishitua, jana nikawa nasoma nikiangalia specs za simu nikifananisha na nyingine nikaona kabisa mbona upigaji kabisa huu. Hesabu za kwenda na cash tigoshop zipo, kuna simu hizi nimezipenda Click to expand... Note 11 achana nayo mkuu sababu note 12 inatoka tarehe 5 subiria wiki kadhaa, Redmi 10 pia ishapitwa na wakati, 10C sio mbaya maana mpaka sasa haina successor ila kwa laki 4 subiria note 12.
Chen Hu said: bora umenishitua, jana nikawa nasoma nikiangalia specs za simu nikifananisha na nyingine nikaona kabisa mbona upigaji kabisa huu. Hesabu za kwenda na cash tigoshop zipo, kuna simu hizi nimezipenda Click to expand... Note 11 achana nayo mkuu sababu note 12 inatoka tarehe 5 subiria wiki kadhaa, Redmi 10 pia ishapitwa na wakati, 10C sio mbaya maana mpaka sasa haina successor ila kwa laki 4 subiria note 12.
Shin Lim JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 8,336 Reaction score 15,356 Dec 23, 2022 #143 Chief-Mkwawa said: Note 11 achana nayo mkuu sababu note 12 inatoka tarehe 5 subiria wiki kadhaa, Redmi 10 pia ishapitwa na wakati, 10C sio mbaya maana mpaka sasa haina successor ila kwa laki 4 subiria note 12. Click to expand... Sawa mkuu, shukrani sana.
Chief-Mkwawa said: Note 11 achana nayo mkuu sababu note 12 inatoka tarehe 5 subiria wiki kadhaa, Redmi 10 pia ishapitwa na wakati, 10C sio mbaya maana mpaka sasa haina successor ila kwa laki 4 subiria note 12. Click to expand... Sawa mkuu, shukrani sana.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,626 Dec 23, 2022 #144 Chief-Mkwawa said: Zero Ultra Sasa hivi wana mazombie mpaka ulaya, jana tu nabishana na mtu sehemu fulani kanunua $600 anakwambia hata iphone 14/S22 haingii ndani. Click to expand... Nahisi.
Chief-Mkwawa said: Zero Ultra Sasa hivi wana mazombie mpaka ulaya, jana tu nabishana na mtu sehemu fulani kanunua $600 anakwambia hata iphone 14/S22 haingii ndani. Click to expand... Nahisi.
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 38,018 Dec 23, 2022 #145 Wakusolve said: Kwa anajua kuusu simu za vivo atupe mwanga kidogo nasikia ni simu nzuri kwa sasa ukiachana na samsung na iphone. Asante na wasilisha. Cc chief Mkwawa Click to expand... Yaani nimesoma heading, nikajua ndo unatueleza kuwa simu aina ya VIVO ni moto, kumbe nawe unaulizia..!!!
Wakusolve said: Kwa anajua kuusu simu za vivo atupe mwanga kidogo nasikia ni simu nzuri kwa sasa ukiachana na samsung na iphone. Asante na wasilisha. Cc chief Mkwawa Click to expand... Yaani nimesoma heading, nikajua ndo unatueleza kuwa simu aina ya VIVO ni moto, kumbe nawe unaulizia..!!!