Shukrani kiongozi ni kupata sanaSpecification za kifaa husika, kuanzia processor iliotumika, ukubwa na speed za ram, ukubwa na speed ya storage, wifi, Bluetooth, band za 4g, speed ya 4g, etc mambo ni mengi unaweza Angalia specs za simu husika gsmarena.
Zipo nenda pale China Plaza floor ya 2 duka linaitwa Simu hubNifungue kidogo uwezo wake ,bei na inapatikana hapahapa bongo au mpaka uagize nje
Kenya maduka yao wanazo na bei sio kubwa sana kama huku.shida ni hapo kuagiza nje
yaani shipping cost zinanipa stress
najiona nikichukua 7plus bila kupenda
Nimeona instagram ila price zinatilia mashka ni cheap kuliko amazon na ebayKenya maduka yao wanazo na bei sio kubwa sana kama huku.
Tabia ya kuidharau MediaTek tutaiacha kama hizi EV cars zitaendelea kula processors nyingi. Mediatek Dimensity 1000 na 1200 zimekuja kwa wakati sahihi ambao vifaa vinavyotaka chips ni vingi mpaka products kubwa za wengine kama Exynos na Snapdragon zinazidiwa orders.Vivo zenye MTK hazina utofauti na Tecno. Tafuta Oppo yenye snapdragon labda ndio utaenjoy.
So far Oppo nyingi zinazoletwa Bongo ni MTK.
Hata bongo zinapatikana. Kwasasa Xiaomi ndio mpango mzima kwenye Chinese phone.Nifungue kidogo uwezo wake ,bei na inapatikana hapahapa bongo au mpaka uagize nje
Wanakuja na menu za kiswahili mm uwa zinaniznguaKwa anajua kuusu simu za vivo atupe mwanga kidogo nasikia ni simu nzuri kwa sasa ukiachana na samsung na iphone.
Asante na wasilisha.
Cc chief Mkwawa
Chief, tofauti za hizo 9, 9a, 9c na 9t ni nini?Xiaomi redmi 9 mkuu, sema kuipata kwake ni Kenya. Ni redmi 9 na sio 9c ama 9A.
Pia sometime redmi 9T (nzuri kushinda zote hapo juu) inashuka mpaka hio bei kwenye sale, ila Kikawaida hii 9T inakuwa around 350,000
Redmi 9t ina lcd display , niliagiza ila imenibidi nimpe tu wife , nimezoea amoled display ya realme x , lcd nikaona inaniumiza tu macho yangu ya uzee., Ila pia kwa music lovers redmi9t ipo weak sana kwenye sound drivers.Xiaomi redmi 9 mkuu, sema kuipata kwake ni Kenya. Ni redmi 9 na sio 9c ama 9A.
Pia sometime redmi 9T (nzuri kushinda zote hapo juu) inashuka mpaka hio bei kwenye sale, ila Kikawaida hii 9T inakuwa around 350,000
Mediatek processors , ndio engine ya simuMTk ukiwa unamaanisha nini
Ila wamepoteza ladha kwa kuondoa miui dialer na sms app na ku replace na android dialer kwenye global rom zao zote.Hata bongo zinapatikana. Kwasasa Xiaomi ndio mpango mzima kwenye Chinese phone.