Vivazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vivazi

Discussion in 'Jamii Photos' started by kakuruvi, Mar 29, 2012.

 1. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 645
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mavazi ni kitu cha kwanza kuitambulisha tabia ya mtu unapokutana naye mara ya kwanza, kinyume ya hapo inaweza kuwa sawa pia kwa sababu maalum au kuigiza. Inaelezwa kuwa CBE wameanza kufanyia kazi jinsi ya kuvaa chuoni hapo Je wako sahihi, au waache tu kila mtu na lake? Wadau mna lipi la kusema?

  [​IMG]

  picha kwa hisani ya Michuzi!

  mavazi.jpg
   
 2. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Wakaulize wanafunzi wenzao wa SAUT where ethcal standard dressing codd are well considered.!?
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...ID yako nimeipenda,na nimeielewa
  topic: kwanza mavazi yanaweza yasikupe picha halisi ya mtu...kwa kiasi kikubwa tu, ila hao wanaotaka kuanzisha iyo kitu, sidhani kama itafanya kazi...sanasana watakosa wanafunzi tu.

  kuhusu hao waungwana hapo juu...duh kidogo inachanganya,mana naona kama biashara ivi..tehe!
   
 4. sister

  sister JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,026
  Likes Received: 3,932
  Trophy Points: 280
  wanaweza kufanikiwa mana mie nilienda kumwona mtu nkarudishwa getini.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hii kwa watangaza bidhaa ita-affect sana soko lao!!
   
 6. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,072
  Trophy Points: 280
  nadhani tusiangalie kama wanafanikiwa au hawafanikiwi bali tuangalie theme hasa juu ya madai ya CBE.

  Kwa mfano ukienda msibani kuna code of conduct, harusini, ufukweni, shambani, na hata wale wanaofanya kazi bandarini, waendesha ndege (pilots/captains) nk wote wana code of conducts. Iweje shule (najua unaweza kusema CBE sio shule bali ni chuo!!!) ni kwa nini nazo zisiwe na code of conducts zao!?

  Kizuri zaidi wamejaribu kuonyesha kwa illustrations ni kitu gani wanapinga. Sasa ukiangalia hiyo michoro kweli, msichana kweli anaweza akasoma huku akiiona mitako ya hiyo 'kata-k' ilivyo nje!? ...na je ni mwanamme (maana CBE wengi ni >20+) anaweza kuvumilia kuangalia hao wadada walivyovalia na ukichukulia maisha magumu tuliyonayo sasa!

  Well done CBE na wengine waige kwa vili hili ni jambo zuri kama nyie mlivyoiga kutoka SAUT

   
 7. M

  MBULI YAPI Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vazi zuri ni lile linaloweka conducive envinronment kwa jamii husika. ni vizuri CBE wakijenga mazingira hayo. wenzao SAUT wamefanikiwa kwa nini wasiwe wao pia?
   
 8. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,345
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  wengine ndo kazi zao wanazitangazo kupitia mavazi si watakosa soko sasahalafu wengi wao ni no loans
   
 9. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 1,050
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  vivazi vya mastaa
   
 10. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,125
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  wamechelewa sana na wanaume wamefail sana mpaka wamekuja tunga haka kasheria hope wamewasaidia vidume kwa njia moja au nyngne hope hamjawaona walimu wa RUCO au SAUT mwanza hii kitu TUMAINI ndo imedunda wanavaa wawezavyo nikirud tena lazima nirudishe haka kasheria.
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Watatangazia nje ya geti la chuo
   
Loading...