Viva jf!

Vmark.

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
1,353
270
Naomba nitoe heshima kwa wana jf wote kwa michango yenu na elimu ya ukweli inayotolewa humu jf hadi nikavutiwa kuingia humu jamvini! Viva jf!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Karibu. Tufahamishe ni kitu gani hasa kimekufanya mpaka ujiunge. Au kama kuna kitu chochote unaona kiwe improved. The more specific the better. Feedback muhimu sana hasa kwa watu wageni kama nyie. Inasaidia kuboresha JF ili wale wanaochungulia tuu nao wajiunge. Nimekupa na like ya kwanza.
 
<br />
<br />
kumbe na wewe ni mod?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
<br />
<br />
kumbe na wewe ni mod?

Andika pumba kama sijakupa ban la maisha. lol. Naamini the the best way kuiweka JF kwenye standard ya juu kabisa ni kila member kuwa Mod. Sina maana ya kupewa cheo cha U Mod. Bali kukemea wale wanaoharibu JF na kuwapa changamoto wageni wote. Member mpya anapoungia sio tuu umkaribishe halafu unasepe. JF ni yetu wote. Ndio sisi tutakaoijenga au kuibomoa. Sio wale Mods wenye vyeo pekee. Tukiwaachia wao, kazi itawashinda. Ni ngumu sana ku moderate forum kama hii bila kupata usaidizi toka kwa members wenyewe. Kwa hiyo ukiona mtu ana abuse thread, badala ya kusepa, bofya kifute chekundu cha "Report Abuse".
 
Asanteni kwa michango yenu wote!To be specific discussion nyingi zinazofanyika hapa jamvini ni nzuri kwa maendeleo ya taifa kwa ujumla. Hili ni jambo kubwa lililonivutia.Pia kuna members wengi kama wabunge ambao kama kuna kitu kinahitaji clarification wanarespond immediately hivyo kupunguza red tapism kama mtu anataka amuone mtu kama mbunge wake....so far jukwaa la sports nadhan lina less importance to my outlook bse hamna updates ambazo ni current pia wachangiaji wake ni wachache....thanks a lot jf members!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
thanks sana EMT yaani nyie kumi ujue jf inakuwa katika stsndard inayokadiria na kuchukuliwa na members pamaja na guests....
Hala EMT
 
Karibu sana Mkuu kwenye jamvi maarufu la Watanzania.
 
Asanteni kwa michango yenu wote!To be specific discussion nyingi zinazofanyika hapa jamvini ni nzuri kwa maendeleo ya taifa kwa ujumla. Hili ni jambo kubwa lililonivutia.Pia kuna members wengi kama wabunge ambao kama kuna kitu kinahitaji clarification wanarespond immediately hivyo kupunguza red tapism kama mtu anataka amuone mtu kama mbunge wake....so far jukwaa la sports nadhan lina less importance to my outlook bse hamna updates ambazo ni current pia wachangiaji wake ni wachache....thanks a lot jf members!

Mkuu jukwaa la sports litachangamka hivi soon. Probably kuanzia jumapili hii. Si ujua ligi nyingi zimeisha. Zikianza tena kule watu wanakulana gwara tuu
 
K then! Nimekusoma mkuu kuhusu jukwaa la michezo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom