Viuno! Viuno! Aaah!

Viuno! Viuno! Aaah!

mwanaume na viuno shemeg wapi na wapi...
sisi tuna topics zetu shemeg hahaha

aaahh!! kwanini ya viuno ndio irukwe shemeg wakati maswali yake ndio yanayotoka sana kwenye mtihani. lol
 
shemeg utaachika. hata nyie mnatakiwa kukata viuno ati.

shemeg taratibu atii...sisi tunapekecha sio kukata mauno...
au in short sisi tunatwanga, halafu ninyi mnapepeta...
 
bora kama unaweza hata kupekecha shemeg. lol

hivi kidume kinachokata mauno si hata kutembea atakuwa kalegea skrubu zote za kiuno zimeachia...hukawii kuitwa mtoto wa watu!
 
aaaahhh shemeg mauno yanahusuuuu bana. we umeamua kuyapa jina jingine la kupekecha??! hivi fally pupa amelegea eeehh???
 
heheh labda nimeyapa jina jingine tu shemeg...
ila hao jamaa wanenguaji huwa nasikia kunako 6 x 6 ni wachovu mno...wakishachovya tu basi ufundi wote wa jukwaani wawatoka...
 
mmmmmhh!!! ngoja nitafute mmoja wa kuonja then nitakupa feedback. lol
 
Back
Top Bottom