Viungo vya binadamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viungo vya binadamu

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Bollo Yang, Sep 15, 2010.

 1. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2010
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Habari wakuu,

  Naomba sana nipatiwe msaada wa sheria kwenye hili swala.

  Hivi ikitokea mtu (Specifically mfanyakazi wa mochwari) amekamatwa na viungo vya binadamu, katika sheria ya makosa ya jinai ya nchi yetu, mtu huyo atashitakiwa na kuadhibiwa (kwa mujibu wa Penal Code) kwa kosa gani? Maana najua hawezi kushtakiwa kwa kosa la mauaji sababu ni viungo vya watu waliokufa ambao wako kwenye supervision yake.

  Miezi michache iliyopita kuna mtoto alikamatwa na kichwa cha binaadamu pale hospitali ya muhimbili, alipokamatwa alishtakiwa kwa kosa la mauaji kwa sababu kile kichwa kilikua ni cha a missing young girl somewhere karibu na anapoishi yeye, because of that moja kwa moja alichukuliwa kama atakua amemuua yule mtoto na kuondoka na kichwa chake.

  Nimeweka huu mfano at least nipate kueleweka kirahisi and eventually nipate msaada kutoka kwenu wakuu.

  Natanguliza shukrani za dhati.
   
 2. E=mcsquared

  E=mcsquared JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 221
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Swali lako halina mantiki sana lakini sababu jibu lake liko wazi mno, hata kwa mtu ambaye kabisa hajui sheria. Wwewe umekamatwa na viungo vya mtu aliyekufa halafu akatafutwe muuaji mwingine? Viungo vya binadamu aliyekufa means "binadamu aliyeuawa". Unless kam unaweza ku-prove beyond reasonable doubts km wewe si mhusika wa mauaji, then utashtakiwa kwa kosa hilo la kumiliki viungo vya binadamu. Otherwise you are in for it my friend!
   
 3. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2010
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nadhani umekurupuka hujasoma vizuri thread yangu, nimesema kama huyo aliyekamatwa na viungo hivyo ni mfanyakazi wa mochwari ambapo kazi yake unaijua ni ya kuhifadhi maiti, na kwa bahati nzuri say hivo viungo vitambulike kuwa ni vya moja ya maiti ambazo alikua anadhihifadhi mochwari ambapo ni eneo lake la kazi, kisheria mtu huyo atashtakiwaje. Thats my question kaka
   
Loading...