kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Hv kule Mirembe cku hizi ulinzi wao ukoje? Mbona wanashindwa kuwadhiti hawa watu hadi wanafika huku?
Bundi ni ndege anayeonekana kama mwenye gundu na anahusishwa na mambo ya nguvu za giza.Akijitokeza mchana ndege wangine humshambulia sana!Hivi huyu naye aliumbwa na Mungu?na kama ni kweli kwa nini achukiwe hivi na viumbe wengine?je huenda kuna binadamu pia hawakuja duniani kwa mapenzi ya Mungu?kwani vyovyote wafanyavyo wanaonekana na gundu tu mf watu weusi wengi!Nimejiuliza nikafikia kuamua kwamba huenda kuna viumbe kama huyo Mungu hakuviumba
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Na paka je?
Ni mmea, ila unapigwa marufuku sehemu kubwa ya dunia hii.Na majani ya bangi je?
Ni kiumbe cha mungu pia, ingawa kidizain siwafeel kwa tabia zao mbaya
Bundi ni ndege anayeonekana kama mwenye gundu na anahusishwa na mambo ya nguvu za giza.Akijitokeza mchana ndege wangine humshambulia sana!Hivi huyu naye aliumbwa na Mungu?na kama ni kweli kwa nini achukiwe hivi na viumbe wengine?je huenda kuna binadamu pia hawakuja duniani kwa mapenzi ya Mungu?kwani vyovyote wafanyavyo wanaonekana na gundu tu mf watu weusi wengi!Nimejiuliza nikafikia kuamua kwamba huenda kuna viumbe kama huyo Mungu hakuviumba
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
kUNA MAMBO UKIYATAFAKARI SANA UTAISHIA KUKUFURU SO PLZ MENGINE YAACHE KAMA YALIVYO NDUGU AU MWOMBE MUNGU AKUPE MAARIFA YA KUTAMBUA MAJIBU YA MASWALI YAKO MAGUMU NAYE HANA HIYANA KAMA SISI BINADAMU ATAKUJUZA NAWE UTAWAAMBIA WENZAKO PAMOJA NAMI