Viumbe Donasari!

Hivi hivi viumbe cjui dinosaur kwenye biblia vimeandikwa kweli?
Naiwasilisha kama nilivyo ikuta Mtandaoni.

Hili ni swali linalotokana na umri wa dunia tunayoikalia. kulengana na muda unaodhaniwa viumbe hawa waliishi, hakuna mwanadamu angekuwako kuwaona wakiishi. Biblia hutaja viumbe waliokuwa wakiitwa kwa kiebrania “tannyn’ kiumbe kikubwa chenye asili ya kufanana na mamba mkubwa. Tafsiri tofauti tofauti za neno hili la kiebrania ndizo zinachangia kiumbe hiki kuitwa dinosauri. Viumbe hawa wametajwa karibu mara thelathini katika agano la kale na wanapatikana nhi kavu na ndani ya maji.

Biblia inataja viumbe wengine ambao wanaitwa behemoth. hawa hutajwa kuwa wenye nguvu kuliko viumbe wote Mungu alivyoviumba wakubwa ambao mikia yao inafananishwa na msonobari (Ayubu 40:15 na kuendelea). Dinosauri alikuwa na mkia mkubwa hivyo kustahili kufananishwa na msonobari.

Karibu kila aina ya michoro ya kizamani ya kila mahali ulimwenguni ina alama za kufanana na viumbe wakubwa wa asili ya mamba. Mabaki ya kazi za mikono ya kizamani kutoka amerika kaskazini yanaashiria kuwako kwa dinosauri.

Katika mabaki yaliyopatikana bara asia na amerika kaskazini yana alama za miguu ya wanadamu na viumbe hawa dinosauri kithibitisho cha kuwako kwa viumbe hawa dinosauri duniani.

Kwa hivyo je, mna dinosauri katika biblia? Sisi katika GotQuestions.org tunaamini yakuwa wanadamu na dinosauri waliishi wakati sawa. Tunaamini dinosauri walikufa wakati wa gharika katika siku za Nuhu na pia kwa vile walikuwa wakiwindwa sana na wanadamu.
 
Ukiwa na muda wa utulivu iangalie yote, inatoa mwangaza mkubwa sana kujua ni namna gani mambo mengi kama serikali, uhai, majeshi, vita, kilimo na shughuli nyinginezo za kibinadamu zilivyoanza.
Shukurani sana mkuu nimefurahi
 
Naiwasilisha kama nilivyo ikuta Mtandaoni.

Hili ni swali linalotokana na umri wa dunia tunayoikalia. kulengana na muda unaodhaniwa viumbe hawa waliishi, hakuna mwanadamu angekuwako kuwaona wakiishi. Biblia hutaja viumbe waliokuwa wakiitwa kwa kiebrania “tannyn’ kiumbe kikubwa chenye asili ya kufanana na mamba mkubwa. Tafsiri tofauti tofauti za neno hili la kiebrania ndizo zinachangia kiumbe hiki kuitwa dinosauri. Viumbe hawa wametajwa karibu mara thelathini katika agano la kale na wanapatikana nhi kavu na ndani ya maji.

Biblia inataja viumbe wengine ambao wanaitwa behemoth. hawa hutajwa kuwa wenye nguvu kuliko viumbe wote Mungu alivyoviumba wakubwa ambao mikia yao inafananishwa na msonobari (Ayubu 40:15 na kuendelea). Dinosauri alikuwa na mkia mkubwa hivyo kustahili kufananishwa na msonobari.

Karibu kila aina ya michoro ya kizamani ya kila mahali ulimwenguni ina alama za kufanana na viumbe wakubwa wa asili ya mamba. Mabaki ya kazi za mikono ya kizamani kutoka amerika kaskazini yanaashiria kuwako kwa dinosauri.

Katika mabaki yaliyopatikana bara asia na amerika kaskazini yana alama za miguu ya wanadamu na viumbe hawa dinosauri kithibitisho cha kuwako kwa viumbe hawa dinosauri duniani.

Kwa hivyo je, mna dinosauri katika biblia? Sisi katika GotQuestions.org tunaamini yakuwa wanadamu na dinosauri waliishi wakati sawa. Tunaamini dinosauri walikufa wakati wa gharika katika siku za Nuhu na pia kwa vile walikuwa wakiwindwa sana na wanadamu.
Ahsante mkuu nimejifunza kitu
 
Nimesoma kwa juu habari ya hawa viumbe kwenye Ukurasa wa habari wa BBC SWAHILI (FACEBOOK) ila nimetaka kukua kwa undani viumbe hawa ambao inasemekana walikuwepo miaka takribani milioni 200 iliyopita.

Kwa mwenye kufahamu hawa Viumbe naomba anizibue ufahamu niwajue hata kidogo.

452124b7d3c794f95d468deb5a318182.jpg
Unajuwa brother mi labda nikwambie kwa ufahamu wangu Dinasaur ni myth tu sio kweli,Ni artist wa kizungu tu na storu zao,hakiwezi kuwepo kiumbe hasa katika dunia halafu kizazi chake kiseendelee.Hata zoology haija proven kuhsu hili, ni tunabakia tu kuwasoma katika vitabu na kuwaona katika movie
 
Viumbe huwa wanapotea kutegemeana na mazingira ya maisha yao kwa mfano ujangili sasa hivi unatokomeza tembo na faru je baada ya miaka 2000 tembo na faru wakikosekana unadhani watakaokuwepo hawatasoma historia kwa vile yamepita?
 
Ni kweli lakini kupotea kabisa kabisa inakuwa ngumu halafu uangalie na hao viumbe wenyewe walivyo huwezi hata kuwakaribia walivyo wa kali kwa jinsi tunavooangalia katika historia,na huu ugaidi hakuanza leo tokea zamani upo.Halafu kawaida ya nature ya dunia hasa kitu kinakuwa hakiwezi kupotea kabisa kabisa.Hata nguva pia watu wanasema wapo wapo lakini ukweli uthibitisho haupo.
 
Tupate burudani fupi kwanza(tunywe maji)
 
Naiwasilisha kama nilivyo ikuta Mtandaoni.

Hili ni swali linalotokana na umri wa dunia tunayoikalia. kulengana na muda unaodhaniwa viumbe hawa waliishi, hakuna mwanadamu angekuwako kuwaona wakiishi. Biblia hutaja viumbe waliokuwa wakiitwa kwa kiebrania “tannyn’ kiumbe kikubwa chenye asili ya kufanana na mamba mkubwa. Tafsiri tofauti tofauti za neno hili la kiebrania ndizo zinachangia kiumbe hiki kuitwa dinosauri. Viumbe hawa wametajwa karibu mara thelathini katika agano la kale na wanapatikana nhi kavu na ndani ya maji.

Biblia inataja viumbe wengine ambao wanaitwa behemoth. hawa hutajwa kuwa wenye nguvu kuliko viumbe wote Mungu alivyoviumba wakubwa ambao mikia yao inafananishwa na msonobari (Ayubu 40:15 na kuendelea). Dinosauri alikuwa na mkia mkubwa hivyo kustahili kufananishwa na msonobari.

Karibu kila aina ya michoro ya kizamani ya kila mahali ulimwenguni ina alama za kufanana na viumbe wakubwa wa asili ya mamba. Mabaki ya kazi za mikono ya kizamani kutoka amerika kaskazini yanaashiria kuwako kwa dinosauri.

Katika mabaki yaliyopatikana bara asia na amerika kaskazini yana alama za miguu ya wanadamu na viumbe hawa dinosauri kithibitisho cha kuwako kwa viumbe hawa dinosauri duniani.

Kwa hivyo je, mna dinosauri katika biblia? Sisi katika GotQuestions.org tunaamini yakuwa wanadamu na dinosauri waliishi wakati sawa. Tunaamini dinosauri walikufa wakati wa gharika katika siku za Nuhu na pia kwa vile walikuwa wakiwindwa sana na wanadamu.
Shukrani mkuu kwa ufafanuzi mzuri wa kiumbe hiki Dinosauri.
 
dinosaur-t-rex.jpeg

Na wala mtu asishangazwe na picha za kama kweli katika movie wezentu wana techology ya kutosha mpaka kusababisha kitu kuonekana kama kweli. hiyo picha iliopo juu inaonesha jinsi ya designing ya dinasaur from sratch to render.
 
Kilichofanya dinosaur kugundulika ni migupa yake iliyopatkana ktk uso wa dunia mfano hapa tz ilipatikana huko Lindi na hadi Leo ipo ujeruman kwani ndio waliichimbua kwenye miamba, kuhusu umbo lake hiyo design iliyopatikana baada ya kuunganisha ile mifupa yake na yeye ni jamii ya reptile (mjusi) hivyo anataga kama vile mamba chatu anaconda (sawaka), pia watu ambao hawakusoma au hawakuelewa TAXONOMY au sayansi ya kunyambulisha viumbe ktk makundi yao huchanganya maneno 'MNYAMA na MAMALIA' wao wanajua MNYAMA anazaa na kunyonyesha kumbe ni MAMALIA na MNYAMA ni tafsiri ya ANIMALIA ambalo ni kundi kubwa linalozungumzia Arthropods, chordates, annelids
 
Kwenye ubora wako.... Asante sana kwa kuongezea
 
In fact hata sisi tuko kwenye hatari ya kutoweka maana nasikia kilichowafanya kushindwa kuhimili mikiki ya maisha ni ubongo wao mdogo,Sasa ukiangalia tunavyotumia huu ubongo wetu mkubwa kwa ujazo si ajabu tukitoweka pia.
 
dinosour ni uongo hakujawahi kuwa na wadudu kama hawa duniani,hawa wana-exist kwenye science fiction tu na huko ndiko walikobatizwa na kuwa science fact. kama mambo mengi tunayoamini kuwa ni ukweli huanza kwenye fiction hadithi ikishakolea na kujaa akilini mwa watu hugeuzwa kuwa fact, hakuna proof yeyote badala ya video za kutengeneza na photoshop na mifupa ya kughushi. pengine superman na spiderman watakuja kua fact baada 200 years
ni muendelezo wa uzushi tunaoaminishwa ili tuamini kuwa evolution ni ukweli na alien wapo pia.ili tuone the past ilikuwa ugly kwa hio na future pia inaweza kuwa ugly hii ni kuiweka akili katika mazingira ya woga kwenye maisha yote ya mwanadamu na tusiamini kuwa mwanadamu hakuumbwa bali wanatufundisha tuamini na evolution

na kama hii ni kweli mabaki yao yangeonekana kila pahala na zaidi hapa africa na sio hizo sehemu wanazosema wanayaona,evidence zote wanazoleta ni za kughushi,mifupa mabufuru ya vichwa kila kitu ni vya kutengeza
Yaani nimeona post yako nimecheka sana, maana wewe kazi yako ni kubisha kila kitu bila na utafiti.
Hujui kwamba kulikuwa na mabaki ya dinosaur huko Lindi ambayo Wajerumani waliyagundua na kuyapeleka Ujerumani. Mpaka leo yako makumbusho yao.
 
kila mtu ana wakati wake wa kuweza kuona mambo kwa uhalisi wake na sio kulishwa propaganda tu,kwa hio na wewe wakati wako utafika utayaona hayo nnayobisha mimi.

chunguza kuwa historia ya hawa dinosaur imeanza kama miaka 150 tu hivi na hapo ilianza kama vitabu vya science fiction,historia zote za zamani hawa hawajatajwa popote kama historia ya egyptians na japanese,chinese wote hao hawakuwahipo kutaja mambo haya huko zamani na hakuna michoro ilowahi kuchorwa popote kuonesha kuwa watu wa zamani waliwahio kuona mifupa au mabaki ya wanyama hawa
 
Dinasour
Nguva
Aliens
Popo bawa

Wametungwa wote

Kiumbe kimekufa million 200 iliyopita wanavyodai lakini wanatuchorea mchoro wa dinasour alivyokuwa ,umbile lake lote .

Wanatuonyesha Aina za dinasours na wamewa categorize kwa makundi mbali mbali

Aina ya chakula walizokuwa wanakula

Idadi ya mayai waliyokuwa wanataga na life style yao kiujumla

Yaani kiumbe kimeondoka ulimwenguni 200million iliyopita wanavyodai walijuaje hayo yote kama siyo kutufunga kamba?.
hivi unaktaaa nini mkuu wakati unambiwa umri wa ulimwengu huu ni miaka takribani Bilioni 14 ..na ukiangalia umri wa existance ya mwnadamu ni takribani miaka 6000 mpkaa sasa ...

manake nini..??

ni kwamba existance ya himan special imekamilisha miaka 6000 tangu dunia kuumbwa au universe formation...( soma kuhusu Big bang theory) utajua hayo.

manake ukichukua miaka bilion 14 ukatoa mika 6000 utagundua kuwa miaka iliyobaki waliishi viumbe tofaut na human race...

manake nini...??

uumbaji wa mungu haujaanza miaka 6000 iliyopita kumbe mungu alishindanisha viumbe wengine katika uso wa ardhi hii...kwa hiyo kupotea kwa viumbe hao ni moja ya kazi ya hii universe kwani katika science tunasema kwamba the universe does not expand to accomodate the increase in numbee of species but it allows natural seletion that is accompanied by survival for the fittest to every individual in this universe to continue living under this universe...

kwa hiyo maelezo hayo kwa tafsir ni kwamba...the universe if fixed..haiongezeki ujazo wala haipungui kiasi kwamba nutrient and oxygen availability is constant in number only limited and specically number of individual have to use it inordee to survive..kwa hiyo ndo mana viumbe wanakufa kwa ajiri ya kupisha evulution na uzalianaji upya...ili kitu kiingie kipya ni lazima cha zamani kitoweke na hiyo ndo tunaita Ratio to constant number in relation to natural selection...
kwa hiyo hao viumbe ni kweli walikuwepo ila inavosemekana walizaliana kupita kiasi na kusababisha oxygen depression ya hali juu kukatokea kitu tunachokiita cosmic collapse na kupelekea collapsion kubwa sana iliyoanzia ndani ya core ya dunia mpka juu ka kusababisha miamba kupasuka sana ndo mana mpkaa leo ukiangalia milimani unaona kama vifusi vya mawe meupe na ukiwauliza wazee na wao wanakwambia na sisi tumeikuta ..yani kila mtu kaikuta but ilitokana na hiyo kitu ya cosmic collapse...
kwa hiyo hao wanyama wengi walimezwa na mtitimo wa ardhi na bada ya mika mamilioni ya miaka ndo wakatengeneza layers nyingi na badae miozo yao mingi kutokana na kuwa na small surface area to volume ratio ndo tunapata mafuta na gesi nyingi ardhini..
vyote hivyo ni viumbe hao waliokufa mika milioni na ushehe kidgo iliyopita..

kwa hiyo usikatae kitu usichokifahamu...
ndo mana ulipewa masikio 2 na mdomo 1 it means talk less but hear much..( ongea kidgo kwa kitu usichokijua lakini sikiliza sna na kadri uwezavyo kwa masikio yako )
huenda kuna kitu kipya ukajifunza..

mchango wangu ni huo...

N.B in order for people tobsurvive some one or somepeople have to die either by natural selection (force from universe ) or by force from other people (kafara) ili kuruhu kuendelea kwa uhai hii hii dunia..
only few people know this but walio wengi hawalifahamu hilo..
thats y watu wanazozifahamu hidden universal laws ndo hao wanaozitumia kuishi kwa kucontrol wenzao..utabaki unalallamika but the truth is kept under secret ...
kwa hiyo katika kuishi katika hii universe it needs to follow those laws unless other wise the nature will selects who to survive...and the nature selects from the point of weekest...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom