Viumbe ambavyo Vipo Njian Kupotea




Duh...Black is beautiful.....lakini wazungu wametutawala mpaka akili zetu na kutuletea 'mikorogo' na 'kubambua' (hivi hili neno ni la Kiswahili kweli???) ngozi zetu ili tuwe kama wazungu....Kwa hakika utumiaji wa 'mikorogo' ni ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu, lakini taasisi zetu za haki za binadamu kamwe hutasikia wakilizungumzia hilo...ila nina hakika na jambo moja: siku ikitokea kwa kuanzishwa operesheni ya kutokomeza 'mikorogo' zile taasisi za haki za binadamu zitajitokeza na kupinga operesheni ya aina hiyo....
 

Hao ndio Wateja Namba moko
 
Kiukweli sijawahi kumpenda mwanamke mweupe na hata ilipotokea kumtamkia neno 'ninakupenda'ni uongo tu sio kutoka rohoni ni kwa tamaa tu ya kubadilisha mboga.,
Kitu black bana........

Na huwa sipendi kuwaona wakilia.,walaaniwe wote wanaowafanya blacks walie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…