Viumbe ambavyo Vipo Njian Kupotea

Viumbe ambavyo Vipo Njian Kupotea

b3513a137783f1cdd999527962381a6e.jpg

ila kwa hili nasema kuwa wanaume wengine hapa wanajisheua tuu....wanaosababisha wanawake wanajibadilisha ni hawa wanaume...Utakuta mwanamme anataka msichana mweupe...angalia asilimia kubwa za wanaume wapo na wanawake gani...

Pia kuna wanawake black ambao ni wazuri kama huyo hapo ila kuna wanawake wengine black hawapendezi...akipaka makeup ndio anakuwa kituko bora apake poda na wanja tuu...

ila mwanamke mweupe hata kama ni mweupe kidogo (maji ya kunde / kahawia ilokolea) huwa hawa wanapendeza mara nyingi hasa akiwa soft...kama wasomali ...n.k..

Jiulize kwanini Wasukuma hutoa mahari kubwa kwa wanawake weupe?
Kwanini kanda za Arusha, Kilimanjaro, Singida, Tanga, Upareni wapo juu sana.... utakuta ni colour ndizo zinazowapaisha...

Msemakweli mpenzi wa Mungu.

Kama ni kuhusu hili suala linatakiwa lianze kwa wanaume, wabadilike kuacha kupenda wanawake weupe

Hili halitofautiani na lile janga la wanawake bapa kupotea, sasa hivi utakuta kila mwanamke ni kajichubua, na anakalio hilo...Je hawa walikuwa wapi? Msichana akishakuwa tuu akijitambua hasa wasichana wa vyuo, Wanaenda kwa mchina kukuza kalio....

Wanaume kwanini mnapenda makalio, au mnapenda nyuma..?

BADILIKENI WANAUME
 
Mfano Mimi.

Mimi napenda mwanamke mweupe pee, siwatamani wanawake weusi.
 
Mtoto mzur huyo ajabu akimaliza shule tu na yeye anataka awe mweupe
 
ila kwa hili nasema kuwa wanaume wengine hapa wanajisheua tuu....wanaosababisha wanawake wanajibadilisha ni hawa wanaume...Utakuta mwanamme anataka msichana mweupe...angalia asilimia kubwa za wanaume wapo na wanawake gani...

Pia kuna wanawake black ambao ni wazuri kama huyo hapo ila kuna wanawake wengine black hawapendezi...akipaka makeup ndio anakuwa kituko bora apake poda na wanja tuu...

ila mwanamke mweupe hata kama ni mweupe kidogo (maji ya kunde / kahawia ilokolea) huwa hawa wanapendeza mara nyingi hasa akiwa soft...kama wasomali ...n.k..

Jiulize kwanini Wasukuma hutoa mahari kubwa kwa wanawake weupe?
Kwanini kanda za Arusha, Kilimanjaro, Singida, Tanga, Upareni wapo juu sana.... utakuta ni colour ndizo zinazowapaisha...

Msemakweli mpenzi wa Mungu.

Kama ni kuhusu hili suala linatakiwa lianze kwa wanaume, wabadilike kuacha kupenda wanawake weupe

Hili halitofautiani na lile janga la wanawake bapa kupotea, sasa hivi utakuta kila mwanamke ni kajichubua, na anakalio hilo...Je hawa walikuwa wapi? Msichana akishakuwa tuu akijitambua hasa wasichana wa vyuo, Wanaenda kwa mchina kukuza kalio....

Wanaume kwanini mnapenda makalio, au mnapenda nyuma..?

BADILIKENI WANAUME
Kwahiyo kumbe huwa mnajichubua na kukuza makalio kwa ajili ya wanaume?
 
Mtasota sana na mamekapu, mamikorogo yenu hayo, mtu anakuwa kama jini, ptuuuuu!
 
Wana sifa zao na wana joto ajabu....kiukweli wamebarikiwa ila huwa hawajijui na hawajiamini.
 
Personal napenda mwanamke mweusi...nilimpenda hivo mke wangu lakini naona anatumia mafuta gani sijui anaanza kua mweupe , nitamwacha cz nimesema weeee, wapi?
 
Lakini kwa serikali hii watu watarudi kwenye ubora wa rangi zao hizo ela za mafuta ya laki moja watazitoa wapi, pia mh. kaweka kitengo cha TBS bandarini na mipakani hizo bidhaa zitapitia wapi( yaani watu watakuwa kama vidonge vya rangi mbili au zebra)
 
watu watageuka vidonge vya tetracycline
 
Back
Top Bottom