Oyaaaa nunua vitz,weka mziki wa million na nusu,weka rimsport na tyre mpya,unaenda popote,Lita 32 unatembea kilometa 567.2,,,ukitoka dar tabora tank moja unusu fasta unatoboa kanyenye pale oxygen lounch unakula kuku choma. Vitz kwa mafuta utaona km unawaibia sheli ndugu,,starlet ya ki old old weka vitz tia mziki wa maana Masaa kumi upo tabora,kigoma baada ya masaa Kumi na sita unatoboa