Mbona mnakuwa na mambo ya ajabu, kwani kipi cha ajabu kila mmoja akisema kaendesha gari?? Mnaboa na vi comments vyenu let them be freeHapa ndio utajua kila mtu kashawahi endesha gari
Mkuu asante sana ...ila hujazungumzia suala la kudumu kwa haya magari na upatikanaji wa spear zake uko vipi?Ratio ya mafuta ni liter 1/100km sasa kinacho ongezeka ni nguvu yani Horsepower Vits inaanzia cc 1000 mpaka 1300 kwa vits toleo la zamani wakati toleo jipya ni 1500 Stalets zipo za kama aina 4 lakini cc inaanzia 1300 mpaka 1800 kwa stalet granza hii ni kama sport car stalet hawana new model kwani wameanza kuzitengeneza mwaka 1973 to 1999
Nataka kukwambia kitu ambacho Watanganyika wengi tunachanganya au hatuna taarifa sahihi juu ya vitu nataka kukwambia mpaka gari linaingia sokoni linapitia katika vigezo mbalimbali na viwango mbalimbali lazima ipate kibali cha International Vehicle Standards (IVS) na kama itatoka na kuthibitika aijakidhi vigezo ni lazima zirudishwe kiwandani na kuondolewa sokoni so kati ya vitu ving ambavyo IVS.Mkuuu asante sana ...ila hujazungumzia .....suala la kudumu KWa haya magari na upatikanaji wa spear zakeee uko vipi
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Asante mkuu.Nataka kukwambia kitu ambacho Watanganyika wengi tunachanganya au hatuna taarifa sahihi juu ya vitu nataka kukwambia mpaka gari linaingia sokoni linapitia katika vigezo mbalimbali na viwango mbalimbali lazima ipate kibali cha International..
Mkuu kwaiyo mafuta yanalika sawa na pikipiki? i.e 1/100kmRatio ya mafuta ni liter 1/100km sasa kinacho ongezeka ni nguvu yani Horsepower Vits inaanzia cc 1000 mpaka 1300 kwa vits toleo la zamani wakati toleo jipya ni 1500 Stalets zipo za kama aina 4 lakini cc inaanzia 1300 mpaka 1800 kwa stalet granza hii ni kama sport car stalet hawana new model kwani wameanza kuzitengeneza mwaka 1973 to 1999
Mkuu unapozungumzia pikipiki kuna mapikipiki makubwa na mengine yanampaka rejeta na yanakunywa mafuta kuliko hata GX 110 Ratio ya 1/100 km ni ratio ya kimataifa ya ulaji wa mafuta kwa gari sasa bhasi.Mkuu kwaiyo mafuta yanalika sawa na pikipiki? i.e 1/100km
Mkuu ratio ni hyo hyo kwa magari madogo gari ikiwa ainatatizo lolote kwenye mifumo ya engine au mafuta kwa Heavy Duty Trucks ni 13.3/100 km na magari ya kati ni 10.7/100km tatizo 90% ya magari yanayotembea Tanganyika mifumo yao ya engine na mifumo ya uchomaji mafuta ni mibovu pia unatakiwa kujua ukibadilisha mataili au kuweka rims kubwa ili gari ipendeze tayali unakuwa umeshatibua ulaji wa mafuta kwenye gariSahihisha hii ratio mkuu...
Mkuu naomba ufafanuzi hiyo ratio ya 1lt/100km au unamaanisha 1lt/10km maana hata pikipiki si hivyo!Ratio ya mafuta ni liter 1/100km sasa kinacho ongezeka ni nguvu yani Horsepower Vits inaanzia cc 1000 mpaka 1300 kwa vits toleo la zamani wakati toleo jipya ni 1500 Stalets zipo za kama aina 4 lakini cc inaanzia 1300 mpaka 1800 kwa stalet granza hii ni kama sport car stalet hawana new model kwani wameanza kuzitengeneza mwaka 1973 to 1999
Mkuu ratio ni hyo hyo International Vehicle Standards (IVS) ndio wana recommend ratio hyo kwa magari madogo 1/100Km huku Heavy Duty Trucks ni 13.3/100Km na magari ya kati ni 10.7/100Km kama nilivyosema hapo mwanzo ulaji wa mafuta kwa gari unatokana na mapendekezo ya mtengenezaji kutokana na speed au nguvu inayotumika kwenye engine na ndo maana ulaji wa mafuta gari iliyotupu ni tofauti na gari yenye mizigoMkuu naomba ufafanuzi hiyo ratio ya 1lt/100km au unamaanisha 1lt/10km maana hata pikipiki si hivyo!
Hats pikipiki ya namna hiyo hakunaMkuu kwaiyo mafuta yanalika sawa na pikipiki? i.e 1/100km
ExactlyMkuu naomba ufafanuzi hiyo ratio ya 1lt/100km au unamaanisha 1lt/10km maana hata pikipiki si hivyo!