Mkuu njoo endelea kuongeza nyama hapo kwenye magar yanayotumia umeme zaid ya mafuta so unamaanisha ukiwa na BMW yenye 2500cc ni sawa na mtu mwenye toyota ist 1500 cc. Kwa upande mwingine naweza kukubaliana na ww coz kuna mshikaj ana hiyo BMW anasema anatembea 13km per litreMkuu ratio ni hyo hyo International Vehicle Standards (IVS) ndio wana recommend ratio hyo kwa magari madogo 1/100Km huku Heavy Duty Trucks ni 13.3/100Km na magari ya kati ni 10.7/100Km kama nilivyosema hapo mwanzo ulaji wa mafuta kwa gari unatokana na mapendekezo ya mtengenezaji kutokana na speed au nguvu inayotumika kwenye engine na ndo maana ulaji wa mafuta gari iliyotupu ni tofauti na gari yenye mizigo mfano ukiwa unaendesha baiskeli ukiwa peke yako nguvu utakayo tumia ni tofauti na ukiwa umepakiza mizigo au mtu mwingine pia ulaji wa mafuta auna mahusiano na Cc na Cylinders (horsepower) mfano kuna gari linaitwa Mazda rx8 ina Cc 1300 na 4 Cylinder lakini ulaji wake wa mafuta ni kama ina engine ya V8 lakini inakimbia zaidi ya Alteeza ikiwa na speed ya 239 km/h na inauwezo wa zero to 96.56 km/h in 6.3 seconds pamoja kuwa na Cc ndogo na horsepower au Cylinders 4
Magari mengi sana yanatumia mafuta mengi kutokana na watu kutokujua tu mfano magari ya ulaya yanatumia mafuta kidogo sana pamoja na kuwa na Cc kubwa watengenezaji wameweka matumizi ya umeme kuliko mafuta kwenye magari zipo sababu znazofanya magari kunywa mafuta sana ila watu wengi wakiona gari inakwenda bhasi wanaona ni sawa tu lakini zipo sababu nying sana nitakutolea chache
1 bad timing
2 bad sparkplugs
3 low octane fuel
4 malfunctioning coolant temperature sensor
5 blocked catalytic converter(s)
6 malfunctioning MAP/MAF sensors
7 driving with the parking brake engaged
8 having aftermarket wings on the car.
9 tyres not inflated to the recommended pressure
Kitu kingine ambacho nimekiona kwa wabongo wengi ni uendeshaji mbaya wa magari watu wengi si madereva wazuri hata ktk ubadilishaji wa gia tu utajua huyu si dereva hata gari ya automatic nayo inauendeshaji wake si ukiweka D basi
Nimekuelewa sana mkuu...Mkuu ratio ni hyo hyo International Vehicle Standards (IVS) ndio wana recommend ratio hyo kwa magari madogo 1/100Km huku Heavy Duty Trucks ni 13.3/100Km na magari ya kati ni 10.7/100Km kama nilivyosema hapo mwanzo ulaji wa mafuta kwa gari unatokana na mapendekezo ya mtengenezaji kutokana na speed au nguvu inayotumika kwenye engine na ndo maana ulaji wa mafuta gari iliyotupu ni tofauti na gari yenye mizigo mfano ukiwa unaendesha baiskeli ukiwa peke yako nguvu utakayo tumia ni tofauti na ukiwa umepakiza mizigo au mtu mwingine pia ulaji wa mafuta auna mahusiano na Cc na Cylinders (horsepower) mfano kuna gari linaitwa Mazda rx8 ina Cc 1300 na 4 Cylinder lakini ulaji wake wa mafuta ni kama ina engine ya V8 lakini inakimbia zaidi ya Alteeza ikiwa na speed ya 239 km/h na inauwezo wa zero to 96.56 km/h in 6.3 seconds pamoja kuwa na Cc ndogo na horsepower au Cylinders 4
Magari mengi sana yanatumia mafuta mengi kutokana na watu kutokujua tu mfano magari ya ulaya yanatumia mafuta kidogo sana pamoja na kuwa na Cc kubwa watengenezaji wameweka matumizi ya umeme kuliko mafuta kwenye magari zipo sababu znazofanya magari kunywa mafuta sana ila watu wengi wakiona gari inakwenda bhasi wanaona ni sawa tu lakini zipo sababu nying sana nitakutolea chache
1 bad timing
2 bad sparkplugs
3 low octane fuel
4 malfunctioning coolant temperature sensor
5 blocked catalytic converter(s)
6 malfunctioning MAP/MAF sensors
7 driving with the parking brake engaged
8 having aftermarket wings on the car.
9 tyres not inflated to the recommended pressure
Kitu kingine ambacho nimekiona kwa wabongo wengi ni uendeshaji mbaya wa magari watu wengi si madereva wazuri hata ktk ubadilishaji wa gia tu utajua huyu si dereva hata gari ya automatic nayo inauendeshaji wake si ukiweka D basi
nani kakwambiaIst ndio upgrade ya starlet
hakuna kitu km HICHO asilani lita moja kilomita 100 kwa hapa TZ labda kwa wenzetuNimekuelewa sana mkuu...
utoke Singida mpaka Dar kwa galloni moja la 5ltsMkuu ratio ni hyo hyo kwa magari madogo gari ikiwa aina tatizo lolote kwenye mifumo ya engine au mafuta kwa Heavy Duty Trucks ni 13.3/100 km na kwenye gari
Unaweza kusoma usielewe pia, akili tunazaliwa nazo shule tunakwenda kupata maarifa si Akili kwani akili tunakwenda nazo hv unajua maana ya Ratio ? wanaposema tafiti zinasema kwa kila Wanzania 4 mmoja ni kichaa je swali nyumbani kwako mnaishi wangapi? kama ni zaid ya 4 je kuna kichaaa? au unapotembea siku nzima unakutana na watu wazima wangapi na vichaa wangapi je inalingana na ratio iliyotolewa?hakuna kitu km HICHO asilani lita moja kilomita 100
dogo rudi tena utuambie ni injini ya aina gani hiyo ambayo haiuawahi juingia hata hapa TZ
utoke Singida mpaka Dar kwa galloni moja la 5lts
source ya hiyo IVS
Dogo nimekuambie uweke link unaleta blah blah na stpry za kuCopyUnaweza kusoma usielewe pia, akili tunazaliwa nazo shule tunakwenda kupata maarifa si Akili kwani akili tunakwenda nazo hv unajua maana ya Ratio ?
Soma na uelewe
kwa hyo ww source yako kubwa ni Google je kama sehemu zingine hakuna Google wanatoa wapi taarifa? pia siwezi kumjibu mtu kwa staha wakati ww unaleta dharau nani unamwita Dogo je unajua umri wangu ? kitu kama uelewi si unauliza unaeleshwa nimekuekewesha sasa kukubali au kukataa ni kazi yako si yanguDogo nimekuambie uweke link unaleta blah blah na stpry za kuCopy
hicho kitu chako cha kuunga eti kuna IVS hakuna duniani ila ni akili zako za kuzaliwa
nimekupa magari ya leo 2017 yanayokwenda umbali mrefu kwa kutumia Petrol (na umeme0
wewe unajibu kwa kashfa, sisi hapa tupo kwa kueleweshana na hatukosoani ndio maana kina Mshana Jr wakaanzisha jukwaa hili tukijua tutakutana mafundi na wasio mafundi, wenye leseni na wasio nazo
sasa tuelimishane kwa staha
ingia Google au Wikipedia tafuta hiyo mada yako ya lita 1= 100km
Unaweza kusoma usielewe pia, akili tunazaliwa nazo shule tunakwenda kupata maarifa si Akili kwani akili tunakwenda nazo hv unajua maana ya Ratio ? wanaposema tafiti zinasema kwa kila Wanzania 4 mmoja ni kichaa je swali nyumbani kwako mnaishi wangapi? kama ni zaid ya 4 je kuna kichaaa? au unapotembea siku nzima unakutana na watu wazima wangapi na vichaa wangapi je inalingana na ratio iliyotolewa?
Tumia akili ww ratio ni hyo hyo International Vehicle Standards (IVS) ndio wana recommend ratio hyo kwa magari madogo 1/100Km huku Heavy Duty Trucks ni 13.3/100Km na magari ya kati ni 10.7/100Km kama nilivyosema hapo mwanzo ulaji wa mafuta kwa gari unatokana na mapendekezo ya mtengenezaji kutokana na speed au nguvu inayotumika kwenye engine na ndo maana ulaji wa mafuta gari iliyotupu ni tofauti na gari yenye mizigo mfano ukiwa unaendesha baiskeli ukiwa peke yako nguvu utakayo tumia ni tofauti na ukiwa umepakiza mizigo au mtu mwingine pia ulaji wa mafuta auna mahusiano na Cc na Cylinders (horsepower) mfano kuna gari linaitwa Mazda rx8 ina Cc 1300 na 4 Cylinder lakini ulaji wake wa mafuta ni kama ina engine ya V8 lakini inakimbia zaidi ya Alteeza ikiwa na speed ya 239 km/h na inauwezo wa zero to 96.56 km/h in 6.3 seconds pamoja kuwa na Cc ndogo na horsepower au Cylinders 4
Magari mengi sana yanatumia mafuta mengi kutokana na watu kutokujua tu mfano magari ya ulaya yanatumia mafuta kidogo sana pamoja na kuwa na Cc kubwa watengenezaji wameweka matumizi ya umeme kuliko mafuta kwenye magari zipo sababu znazofanya magari kunywa mafuta sana ila watu wengi wakiona gari inakwenda bhasi wanaona ni sawa tu lakini zipo sababu nying sana nitakutolea chache
1 bad timing
2 bad sparkplugs
3 low octane fuel
4 malfunctioning coolant temperature sensor
5 blocked catalytic converter(s)
6 malfunctioning MAP/MAF sensors
7 driving with the parking brake engaged
8 having aftermarket wings on the car.
9 tyres not inflated to the recommended pressure
Kitu kingine ambacho nimekiona kwa wabongo wengi ni uendeshaji mbaya wa magari watu wengi si madereva wazuri hata ktk ubadilishaji wa gia tu utajua huyu si dereva hata gari ya automatic nayo inauendeshaji wake si ukiweka D basi
Soma na uelewe
Wakuu naomba kujua kati ya izo gari mbili ....ipi ina ubora zaidi....? Kwa upande wa kula mafuta na usafiri wa umbali mrefu ...vilevile ni gari ipi inayo weza kudumu ...kwa mda mrefu......
Ni hayo tyu wakuu. ....wenye kujua wanijuvyeee
Mkuu bora na wewe umenisaidia, mtu anakuambia mm nimesomea nyumbani akili za kuzaliwa situmii google wala darasaniMkuu ulimwengu huu wa teknolojia kiganjani watu hawabishani tena wala kudanganyana
Toyota - Vitz - 1.0 i 16V (70 Hp) - Technical specifications, Fuel economy (consumption)
Pata full specification za Virtz hapo
Fuel consumption 4.6/100 na sio 1/100
Achana na longolongo zako za wabongo sijui hawajui hiki na kile
haya Mkuu km hata Google huijui basi hata tank la petrol hutalijua liliko au carburator, nozzel, Commonrail ni nini na inasaidia nini kupunguza ulaji wa mafutakwa hyo ww source yako kubwa ni Google je kama sehemu zingine hakuna Google wanatoa wapi taarifa? pia siwezi kumjibu mtu kwa staha wakati ww unaleta dharau nani unamwita Dogo je unajua umri wangu ? kitu kama uelewi si unauliza unaeleshwa nimekuekewesha sasa kukubali au kukataa ni kazi yako si yangu
Nashindwa hata kujua ulichoniitia huku nani amezungumzia vitz kwenye hyo post uliyoniquote? soma vizuri post si kukimbilia kuquote tu kama unamawazo yako unaweza kuyaweka si quote mtu ndo uelezee mawazo yakoMkuu ulimwengu huu wa teknolojia kiganjani watu hawabishani tena wala kudanganyana
Toyota - Vitz - 1.0 i 16V (70 Hp) - Technical specifications, Fuel economy (consumption)
Pata full specification za Virtz hapo
Fuel consumption 4.6/100 na sio 1/100
Achana na longolongo zako za wabongo sijui hawajui hiki na kile
unamaana kilometer 100 kwa lita moja?Ratio ya mafuta ni liter 1/100km sasa kinacho ongezeka ni nguvu yani Horsepower Vits inaanzia cc 1000 mpaka 1300 kwa vits toleo la zamani wakati toleo jipya ni 1500 Stalets zipo za kama aina 4 lakini cc inaanzia 1300 mpaka 1800 kwa stalet granza hii ni kama sport car stalet hawana new model kwani wameanza kuzitengeneza mwaka 1973 to 1999
Sijasema sijui Google bali nimekwambiahaya Mkuu km hata Google huijui basi hata tank la petrol hutalijua liliko au carburator, nozzel, Commonrail ni nini na inasaidia nini kupunguza ulaji wa mafuta
Hongera kwa kuwa Genius wa nyumbani na ukajua magari ya watu bila kupitia vitabu vyao
Ratio ya mafuta kwa gari ndogo ni 1/100km kwa mujibu wa International Vehicle Standards (IVS) lakini ulaji wa mafuta anapanga mtendenezaji wa gari kutokana na nguvu ya engine (HP) na kwa speed fulani ya gari (RPM) kuhusu matumizi ya mafuta kwa magari hayo ni 4.6 to 5.8 kwa 100kmunamaana kilometer 100 kwa lita moja?