VITUO VYA Tv vyanunuliwa dhidi ya LOWASA

Tv za leo hazijaonyesha kabisa maandamano ya mafuriko mbeya, channel ten hawajaonyesha, clouds hawajaonyesha, ITV wameonyesha akiwa jukwaani tu. Tbc ambayo watu siku hizi hawaangalii sijui kama itakuwa imejaribu hata kujaribu tu. imeonekana wazi kuwa kuna njama zimefanyika kununua vyombo vya habari vizionyeshe mafuriko ili kuminya publicity ya Edo.

USHAURI KWA LOWASA: andaa timu yako kuanzia sasa, mikutano yako yooote na mafuriko yako yooote uwe unayarekodi halafu tutachanga hata hela kidogokidogo, hata wakisema turushe kwa mpesa, ili tununue vipindi maalumu kabisa kwaajili ya kuwaonyesha watz mafuriko na namna jamaa anavyokubalika. la sivyo, tukitegemea vyombo vya habari hivi bila hivyo anaweza akaja mwanaccm mmoja akaamua kuvinunua na mafuriko hayataonekana. unajua mafuriko yanapoonekana kuna faida kubwa sana kwa ukawa, inavuta watu wengi sana. hii ndio siasa. tutaandaa siku moja hata kama ni jumamosi tutanunua hata lisaa lizima kwenye tv za azam, itv, channel ten na clouds, tutawapa hela ili turushe kwa pamoja vipindi vinavyoonyesha mafuriko na watu wote wayaone. pia kabla ya kuyarusha, inabidi tuwatangazie watanzania kuwa siku fulani tv fulani itaonyesha mafuriko.

TUANZISHE KIPINDI MAALUMU KWA JINA LA'" SAA YA UKAWA NA LOWASA" Ambapo tutakuwa tunaonyesha namna kampeni zilivyofanyika na mafuriko yetu yataonyeshwa. tutaweza pia kwenda hadi kweye radio zote hapa tz ili wale watu wa vijijini ambao hawana tv wapate kumsikiliza Edo na ukawa na mwezi wa kumi tupate mafanikio ya ukombozi kwa tz. Mungu ibariki Tanzania.

NB; naomba mods msiondoe hii thread, kwasababu ccm ndio waliosababisha kutungwa kwa sheria inayotubana uhuru wa habari, ambayo inaanza kutumika mwezi ujao, inabidi wote tuungane kuisambaratisha ccm ili tupate ccm mpya na sheria za ajabuajabu zote zibadilishwe mara moja.

Kwani siku zote huwa wanaoneshaje?
 
Walimu nao wameamka, wamemjibu ----- JPM aliyeropoka ahadi utumbo eti kila mwalim atapata laptop ili kuinua kiwango cha elimu, yan amekosa vipaumbele mpaka anakurupuka na kuropoka pumba. Na bado...
Hawataki laptop, wanataka maisha bora ambayo CCM wameshndwa kuwaletea waTZ kwa muda wote madarakani pamoja na mbwembwe zoote za maisha bora kwa kila mtz, ari, nguvu na kasi mpya. Vyote vimekuwa upuuzi mtupu. Sasa niwasihi wote wenye nia ya mabadiliko tunayoyahtaji yataanzia kwny kura Oct25. Pigia kura UKAWA...
 
safi sana mkuu..
 
viongozi wa ukawa, hasa bavicha Pitie humu, mleta mada kaja na fact,
 
Hatufanyi sensa hapa, sie tunatafuta kura na maana kuungwa mkono tayari imebaki kura tu..

mkuu hivi ikitokea "bahati mbaya" hizi dalili njema zisijiakisi ndani ya masanduku ya kura ambayo umeyahakiki mwenyewe utafanya nini kitu cha kwanza kabisa? au patachimbika kama "dodoma" palivochimbika?!!
 
Nimefurahishwa na wazo lako mtoa mada hii
you are very creative
ila ukweli ni kwamba ccm wamefikia ukingoni kabisa mwa utawala wa nchi hii kiburi kimewaponza
nashindwa kuelewa kwanini wanamwachia nape aendelee kuharibu chama chao.

wanafiki bwana!! kwahiyo wakimfukuza n.ape utafkiria kuwapa kura yako?
 
Dalili za ushnd kwa UKAWA ni mwamko na utayari wa wapiga kura kote nchini. Haya matukio kadhaa ya publicity ni ishara ya haja ya mabadiliko waliyonayo wananchi wengi Tanzania nzima'. CCM wanajifanya hawasumbuki na kibali cha UKAWA lkn mioyoni mwao wanakubali kwamba mwaka huu mambo yanawawia magumu. October sio mbali, tumechoka kuburuzwa. Wkt wa neema ya mabadiliko ndo umeshafika.

usiwe mtumwa wa matumani mkuu
 
Wewe unapesa zakumchangia MWIZIMKUU WA TZ!!! Mmerogwa vijana
 
Hakuna cha utumwa wala kurogwa. Ukweli si unaonekana jamani!? Yan mnabisha hata mkiwa mnaona kwa macho yenu.!?
CCM kwl imewaingia hata hamgundui hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa.
 
Walimu nao wameamka, wamemjibu ----- JPM aliyeropoka ahadi utumbo eti kila mwalim atapata laptop ili kuinua kiwango cha elimu, yan amekosa vipaumbele mpaka anakurupuka na kuropoka pumba. Na bado...
Hawataki laptop, wanataka maisha bora ambayo CCM wameshndwa kuwaletea waTZ kwa muda wote madarakani pamoja na mbwembwe zoote za maisha bora kwa kila mtz, ari, nguvu na kasi mpya. Vyote vimekuwa upuuzi mtupu. Sasa niwasihi wote wenye nia ya mabadiliko tunayoyahtaji yataanzia kwny kura Oct25. Pigia kura UKAWA...

najaribu kupata picha ndani ya mwaka mmoja wa uongozi wa hawa u.kawa (wakifanikiwa kushinda) yaani nyie wakereketwa mtakua mmeshawachukia mara elfu zaidi ya vinyesi vyenu,,, bora akina sie ambao hatutowapa kura tutachukulia kawaida tu kwakua tunajua hatukutaka kuwa sehem ya majuto haya in advance
 
UKAWA ikulu October tena kwa ushnd wa kishndo. Ccm endeleeni kujipa matumaini maana siyo dhambi kujipa moyo.
 
Back
Top Bottom