Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,479
- Thread starter
- #61
hivi unaweza kuzuia mafuriko kwa mikono? watu kila siku wanawasha tv ili wamuone tu lowasa, hata wasio na tv wanauza walivyonavyo wanunue tv ili wawe wanamuangalia lowasa. kwa sasaivi tv inayomwonyesha lowasa ndiyo itakayotazamwa na wengi zaidi. Mungu akikunyoshea mkono wabaya wako hata wafanyeje wanajisumbua tu.