Dume kongwe
New Member
- Dec 12, 2022
- 4
- 1
Katika sehemu zinazofanyika wizi mkubwa kwa wateja ni kwenye vituo vya mafuta, kuna muda unaona hivi hivi unaibiwa ila ama unaamua kuepusha shari ama unapotezea.
Zipo sehemu zenye wafanyakazi waadilifu lakini sehemu nyingi wizi umeshamiri kupita kiasi, mbaya zaidi ukiibiwa wewe ukisema pale siendi, watakwenda wengine wapya na wataendelea kupigwa! Hali inayozidi kuwapa jeuri wafanyakazi hawa na kujiona wapo sehemu ya ku download pesa.
Huu ni uzi maalum wa kutaja vituo vyenye wafanyakazi wezi na hata majina yao au wajihi wao ili tuzuie huu upumbavu wa kuumizana makusudi.